TSH 260,000 Mshahara kama ni wewe utafanya nini.

TSH 260,000 Mshahara kama ni wewe utafanya nini.

hamtumii umeme? sawa inawezekana! hamnywi maji na hamuogi? hiyo haiwezekani!..hamsafiri so hamtumii nauli? hiyo inawezekana! jee hamuumwi? na hamwendi hospitali?..hiyo haiwezekani!.. hamlipi kodi ya nyumba?.. hiyo inawezekana! hamvai nguo so hamnunui? hiyo haiwezekani!...Mkuu maisha ni zaidi ya huo mchanganuo wako maisha ya sasa magumu na huwezi kuyamudu kwa mchanganuo kama wako!..inawezekana umepata mke mwelewa sana lkn hujui ni namna gani anateseka na huo ugumu wa maisha yenu usichukulie poa tuu na kumsifu waifu wako kwa kumudu maisha magumu!..

Kisa cha mpemba(twanga pepeta) kinamhusu.
 
Mbona ndo mshahara wa wengi wetu tumia kujiendeleza hasa masomo ya jioni ni kidato cha sita kama wewe mchepuo pcb, lakini sasa niko mbali natarajia kujiunga na chuo kwa mshahara huo huo

kumbe,....!
 
Nashukuru sana ndugu watanzania kwa mchango wenu. napenda kutoa shukruna zangu kwa wana jf wote.
 
Ndg Watanzania mlioko ndani ya nchi na nyije ya nchi, Naombeni msaada..!

Mimi nimefeli form six mwaka 2012 katika shule ya fulani hapa Tanzania na kombi yangu ilikuwa ni PCM.
baada ya kufeli nikarudi nyumbani kijijini kwetu.
Familia Pamoja na wakajijij wakawa wamenitenga kutokana na kukomba hela za nyumbani kwa ada. hafu nikafeli
nikaamua kuja dar es salaam,
nikabahitaka kupata kuajiliwa katika kampuni fulani
mshahara wanatoa TSH 260,000.

Naombeni mawazo yenu nifanyaje? au niwekeze wap?

NB; Sihataji kejeli, kashafu n.k
kama unaona huwezi bora kaa kimnya.
Komaa yd
 
Nashukuru sana ndugu watanzania kwa mchango wenu. napenda kutoa shukruna zangu kwa wana jf wote.
Pole sana ndugu yangu. Kweli sasa utaelewa kwa nini watu wanakuja kubeba boksi ulaya halafu wananyimwa dual citizenship. Nimeshindwa kupanga budget kabisa hata kwa vile minimum kama chakula na usafiri, umeme na maji na muhimu kabisa chumba tu cha kukodi. Ndio maana watu wanakuwa wadokozi kazini. Nafikiri wazo la kuendelea na masomo kwa kuchukua mkopo ndio la kulifuatilia zaidi. On the other hand, napiga goti na kumshukuru Mungu kuwa mie alinijalia vizuri kidogo. Inshallah nawe utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom