Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
truthTruth or Dare
truthTruth or Dare
Ok tuendelee kuangalia game la Tz na Burundiby the way sina babe, ex wala crush Jf
In case u wanna get married how much bride price would u prefer?truth
utanipa matokeo😂Ok tuendelee kuangalia game la Tz na Burundi
Ata sio hela nyingi 😊😂😂 4M tuIn case u wanna get married how much bride price would u prefer?
Jamani 4 million cute mbona hata mimi ntawezanaAta sio hela nyingi4M tu
Picha ipo wapi Darmian?Za kawaida tu sio nyingi kama inavyoonekana kwenye picha..umezoea kuona wanaume wenye miguu isiyo na nywele tu?
Truth.
Ulivyotamka hilo jina sasa,hadi nimeshikwa na wifu!Picha ipo wapi Darmian?



Chagua dare bhana 😂Truth
Are u single or married?
Kwanini sasa unakunywa pombe hivyo?Inategemea
Ijumaa nakunywa bia 12 na k vant 3
Jumamos nakunywa bia nyingii hazina idadi
Weekdays sizidishi bia 6
Jumapili nakunywa k vant kubwa na maziwa
Truth or dare?
Aah!I'm not so lucky by the way I had already started liking and luv..ing you so let me cut off my dreamNot married and am not single

ulitaka niseme M 100Jamani 4 million cute mbona hata mimi ntawezana
No iyo iyo inatosha uchumi saivi sio mzuri si unajua tupunguzie kidogoulitaka niseme M 100


Lakini nimeliandika tu sijatamka.Ulivyotamka hilo jina sasa,hadi nimeshikwa na wifu!![]()
Kama ni la kwangu umeandika hivyo yaani ningeprecum!Lakini nimeliandika tu sijatamka.



Sijui umeotea au ni coincidence ila hilo swali huwa linaniumiza kiasi flani.Ni kitu gani unachokijutia katika maisha yako mpaka hapo ulipofika?
Starehe tu.....Kwanini sasa unakunywa pombe hivyo?