Chadema bila Zitto ni sifuri
Zitto akifa je?
Chadema bila Zitto ni sifuri
Zitto + Slaa = rise of CHADEMA.
CHADEMA-ZITTO= ?
Chadema -zito=- .0000000000%
TRUTH METER NI kipimo maarufu America kupima ukweli wa mambo kuhusu yanayoongelewa kuhusu wanasiasa.
Ni wazi Zitto ameibua mijadala mingi bungeni mfano ni kutungwa kwa sheria ya madini na sasa ESCROW.
Kuwa na wabunge makini in turn hukiletea chama sifa na kupendwa na wananchi.
Sasa CHADEMA wana wavunge kama mr. II na Lema na wengineo ambao ukiwafuatilia utajua namaanisha nini.
Zitto + Slaa = rise of CHADEMA.
CHADEMA-ZITTO= ?
Sisi tunafuta sera za chama atumfuti slaa wala zito kama hawazingatii kanuni
Chadema -zito=- .0000000000%
Mkuu BAK hawa jamaa hili swali hawawezi kujibu maana washaulizwa mara nyingi wao bado wanaleta uzuzu tuu. Ni kama mtu amwache mkewe kwa ukahaba wake halafu mwingine asifie tuu kuwa huyo mke ni safi sana amrudishe tuu lakini ukimwambia muoe wewe anaruka futi mia sii ubwege huo? Hakuna aliyepinga kuwa Zitto kuna wakati anajua kujenga hoja na hiyo hali ilikuzwa na viongozi waliomfunza siasa ndani ya Chadema alikokulia.Sasa kama CHADEMA bila Zitto ni SIFURI mbona chama chenu cha wahuni hamumchukui na kuongeza maksi kibao dhidi ya CHADEMA!? Kwanini mnang'ang'ana arudishwe ndani ya CHADEMA badala ya kumkaribisha ndani ya chama chenu cha wahuni, mafisadi, wauza unga, majangili, magaidi na tumbili!? Kwanini mnaendelea kuogopa kumkaribisha kwenu Maintarahamwe? Acheni ujinga bhanaa!!! Muwe mnafikiri kwa kina kabla ya kuandika pumba zenu.
CC: Chakaza, zumbemkuu, MANI, Elli
TRUTH METER NI kipimo maarufu America kupima ukweli wa mambo kuhusu yanayoongelewa kuhusu wanasiasa.
Ni wazi Zitto ameibua mijadala mingi bungeni mfano ni kutungwa kwa sheria ya madini na sasa ESCROW.
Kuwa na wabunge makini in turn hukiletea chama sifa na kupendwa na wananchi.
Sasa CHADEMA wana wavunge kama mr. II na Lema na wengineo ambao ukiwafuatilia utajua namaanisha nini.
Zitto + Slaa = rise of CHADEMA.
CHADEMA-ZITTO= ?
A political party should gather its strength through it Constitution, Leadership and Members. No person should neither be more popular nor more important than the political party that he is a member. Any party that reaches a point of having a person or a group within it that is indispensabe is looking in its demise. This is to say any equation in which a political party is equated to individual is invalidTRUTH METER NI kipimo maarufu America kupima ukweli wa mambo kuhusu yanayoongelewa kuhusu wanasiasa.
Ni wazi Zitto ameibua mijadala mingi bungeni mfano ni kutungwa kwa sheria ya madini na sasa ESCROW.
Kuwa na wabunge makini in turn hukiletea chama sifa na kupendwa na wananchi.
Sasa CHADEMA wana wavunge kama mr. II na Lema na wengineo ambao ukiwafuatilia utajua namaanisha nini.
Zitto + Slaa = rise of CHADEMA.
CHADEMA-ZITTO= ?
Wanampenda kwa maslahi tu lakini sio kuwa naye.