Truth meter: CHADEMA kuwakosa Zitto na dk. Slaa itapwaya

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
TRUTH METER NI kipimo maarufu America kupima ukweli wa mambo kuhusu yanayoongelewa kuhusu wanasiasa.

Ni wazi Zitto ameibua mijadala mingi bungeni mfano ni kutungwa kwa sheria ya madini na sasa ESCROW.

Kuwa na wabunge makini in turn hukiletea chama sifa na kupendwa na wananchi.

Sasa CHADEMA wana wavunge kama mr. II na Lema na wengineo ambao ukiwafuatilia utajua namaanisha nini.

Zitto + Slaa = rise of CHADEMA.

CHADEMA-ZITTO= ?
 
Hivi hujajua kuwa wazuri ni wengi hata baadaya hao uliowataja watakuja wengine na ut-appreciate uzuri wao.
 
Zitto alijiharibia mwenyewe baada ya kukubali kurubuniwa na CCM.
 
Hivi hujajua kuwa wazuri ni wengi hata baadaya hao uliowataja watakuja wengine na ut-appreciate uzuri wao.

watakaopigana bungeni au wezi na majambazi kuiba magari
 
Sasa kama CHADEMA bila Zitto ni SIFURI mbona chama chenu cha wahuni hamumchukui na kuongeza maksi kibao dhidi ya CHADEMA!? Kwanini mnang'ang'ana arudishwe ndani ya CHADEMA badala ya kumkaribisha ndani ya chama chenu cha wahuni, mafisadi, wauza unga, majangili, magaidi na tumbili!? Kwanini mnaendelea kuogopa kumkaribisha kwenu Maintarahamwe? Acheni ujinga bhanaa!!! Muwe mnafikiri kwa kina kabla ya kuandika pumba zenu.

CC: Chakaza, zumbemkuu, MANI, Elli

Chadema bila Zitto ni sifuri
 
truth meter ni kipimo maarufu america kupima ukweli wa mambo kuhusu yanayoongelewa kuhusu wanasiasa.

Ni wazi zitto ameibua mijadala mingi bungeni mfano ni kutungwa kwa sheria ya madini na sasa escrow.

Kuwa na wabunge makini in turn hukiletea chama sifa na kupendwa na wananchi.

Sasa chadema wana wavunge kama mr. Ii na lema na wengineo ambao ukiwafuatilia utajua namaanisha nini.

Zitto + slaa = rise of chadema.

Chadema-zitto= ?

chadema - zitto = chadema
 
TRUTH METER NI kipimo maarufu America kupima ukweli wa mambo kuhusu yanayoongelewa kuhusu wanasiasa.

Ni wazi Zitto ameibua mijadala mingi bungeni mfano ni kutungwa kwa sheria ya madini na sasa ESCROW.

Kuwa na wabunge makini in turn hukiletea chama sifa na kupendwa na wananchi.

Sasa CHADEMA wana wavunge kama mr. II na Lema na wengineo ambao ukiwafuatilia utajua namaanisha nini.

Zitto + Slaa = rise of CHADEMA.

CHADEMA-ZITTO= ?

Zitto kaibua escrow? Duuu ndo naskia leo
 
escrow kwanza hayo tutayajadili tukishamaliza kukamata wezi
 
Sasa kama CHADEMA bila Zitto ni SIFURI mbona chama chenu cha wahuni hamumchukui na kuongeza maksi kibao dhidi ya CHADEMA!? Kwanini mnang'ang'ana arudishwe ndani ya CHADEMA badala ya kumkaribisha ndani ya chama chenu cha wahuni, mafisadi, wauza unga, majangili, magaidi na tumbili!? Kwanini mnaendelea kuogopa kumkaribisha kwenu Maintarahamwe? Acheni ujinga bhanaa!!! Muwe mnafikiri kwa kina kabla ya kuandika pumba zenu.

CC: Chakaza, zumbemkuu, MANI, Elli

Wanampenda kwa maslahi tu lakini sio kuwa naye.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom