Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #61
Hahahahaaa amenisumbua muda mrefu eti hakupati umemtosa akaenda kwa Uporoto akatendwa akaona bora akutafute kwa hii dedication...lol na amekupa hope sasa atakuwa na furaha
Sasa atamuajiri mwizi amlindie? Hapo ndo atakuwa kachemsha....Dawa ni kumwomba Excellent ndo wanilinde coz atalinda kotekotemimi ni zaidi ya ffu niajiri bure kabisa.
Teh we sijui ulizubaa wapi jamaa akakupiga bao ila ya kale hayanuki...bado anakuhutaji sana...
Ngoja aje mwenyewe uone
yani wifi huyo mganga wako mkare, uporoto kanikimbia umemficha api?Wifi napita hapa. Namtafuta hamisi kishindindo anikalimanie.
Pyaaaaaa kwa wapendao huo ni ukweli ila kwa wasio na mapenzi tena hakuna hii mambohivi huu uongo bado upo?pyaaaa,
Sasa atamuajiri mwizi amlindie? Hapo ndo atakuwa kachemsha....Dawa ni kumwomba Excellent ndo wanilinde coz atalinda kotekote
Hahahahaaaa we si ulimwaga Excellent kisa Uporoto?ya kale hayanuki?yapi?manini? Na una bahati tu leo sijisikii vizuri la sivyo..,
Pyaaaaaa kwa wapendao huo ni ukweli ila kwa wasio na mapenzi tena hakuna hii mambo
Tutakutana Ubungo jpili manake na mie nipo huku kwa watu, narudi arusha hiyo siku, ole wako nikukose Ubungo!hehe nilikuwa nakamilisha mauzo,narudi wiki'end hii
Kwani we si ndo chanzo cha imani ya nanii kwangu kuisha?tuheshimiane, nani mwizi?na anamuiba nani?
Hahahahaaaa we si ulimwaga Excellent kisa Uporoto?
Hahahhaaaa usitupe mbachao...
Mi mtanikuta nawangoja kwa Mrefu......then tunakuja woteTutakutana Ubungo jpili manake na mie nipo huku kwa watu, narudi arusha hiyo siku, ole wako nikukose Ubungo!
Tutakutana Ubungo jpili manake na mie nipo huku kwa watu, narudi arusha hiyo siku, ole wako nikukose Ubungo!
Teh anza kumtafuta mrithi wa Uporoto mapema....Nashauri mbadilishane na SweetLady....yan Uporoto aende kwa SL na Nitonye kwakomimi huwa naenda kwa mkataba,na mkataba na excellent uliisha,sasa uporoto sijui kafupisha?khaa
Hehehe! Nikisema mimi naambiwa wifi hunipendi...yani wifi huyo mganga wako mkare, uporoto kanikimbia umemficha api?
Mi mtanikuta nawangoja kwa Mrefu......then tunakuja wote
Kwa hasira tufuate Moshi mjini kabisa...lol.Mi mtanikuta nawangoja kwa Mrefu......then tunakuja wote
Teh anza kumtafuta mrithi wa Uporoto mapema....Nashauri mbadilishane na SweetLady....yan Uporoto aende kwa SL na Nitonye kwako
yani wifi huyo mganga wako mkare, uporoto kanikimbia umemficha api?
Mswalie mtume we b52, Uporoto shemeji yangu wa damu, toka ntoke!Teh anza kumtafuta mrithi wa Uporoto mapema....Nashauri mbadilishane na SweetLady....yan Uporoto aende kwa SL na Nitonye kwako