klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Ni kweli kabisa, lazima SL, Kaby na amyner waoneshe ushirikiano wa kutosha kwa hili neno la Mungu, azawaizi ufalme wa milele watausikia clouds FM tuTeh sawa...nimeelewa tayari....mwambie Kaby na SL wapunguze majungu tupendane....
Halaf jana rejao alikuwa analembea ndogo ndogo mjeshi nikamchimba mkwala aachane na mali ya nitonye. nipo upande wako mkuu.
Sio vibaya bro akajua nini kinaendelea kwa sister ake
Jaman loya,ongea taratibu rejao wangu kapumzika atiii!
Mwanaume gani analala saa mbili? omba talaka ulejee kwanguJaman loya,ongea taratibu rejao wangu kapumzika atiii!
Mambo zako vp amyner? unajua nikiona mwandiko wako tu nasahau mpaka middle name yangu. Lavu iz blaindi jamani
Cantalisia Rejao....
Hujambo??
Kweli ila kwa hao msikivu ni mmoja tu...hao wawili nawangoja ar waje niwauze kwa mkopo...mmoja kwa Nitonye...na mwingine kwa Uporito au weweNi kweli kabisa, lazima SL, Kaby na amyner waoneshe ushirikiano wa kutosha kwa hili neno la Mungu, azawaizi ufalme wa milele watausikia clouds FM tu
Ok msalimie sana.....Mzima wa afya tele,alikua anakula cha ucku kashiba tele kapumzika kidogo!
Mwanaume gani analala saa mbili? omba talaka ulejee kwangu
Ile loan wamesema watatoa nekst wiki, nikiipata tu nakudipu. Nataka tukaitafune loan yote ndani ya sku mbili. Kufa maskini ni fashion siku hizikloro mi mzima.. Hehehe mwandiko huu ulikua wa bibi kanirithisha.. Halafu ile appointment yetu lini hivi? (ricky dear ni mambo ya kikazi tu. U trust me, right? Lol.)
Ok msalimie sana.....
Nimefurahi kumwona aisee
Usijali darling nakuelewa....na nakutrust sana na najua klorokwini ni shemeji yako toka zamanikloro mi mzima.. Hehehe mwandiko huu ulikua wa bibi kanirithisha.. Halafu ile appointment yetu lini hivi? (ricky dear ni mambo ya kikazi tu. U trust me, right? Lol.)
kwa kuwa unajua karudi na kitita eeh?
Nataka kutoa copy..
Zimefika,vp Amy hajambo?
Ila sweetlady mvumilivu...ungekuwa wewe ungeshamwaga
Nimerudi darlin, naona wanakusumbua napata wasiwasi na kaby, ana CV mbaya! Danger kwa waume za watu!
Kabana acha wizi bana, jana si mlikuwa mnavuana nguo na uporoto hapa chit chat wewe?