ndio maana nakupenda dawa tamu, wewe ni msema kweli.Enhe gesti ipi? Na ulikuwa na nani?
Nimefurahi kumwona aiseewee cheka tu,, wee amy subiri naongea na amy
vipi unashida ya kuprint?ni 100 kwa page
Halaf jana rejao alikuwa analembea ndogo ndogo mjeshi nikamchimba mkwala aachane na mali ya nitonye. nipo upande wako mkuu.Si chezi mbali si unajua unga robo
anajua anamchora tu hapo.Hatampa chakula cha usiku, dont ask how i know that
anajua anamchora tu hapo.Hatampa chakula cha usiku, dont ask how i know that
Nikitaja nitalambwa ban, ni mali ya mkuu flani hapa JF
Jamani bby u umerudi eeh
Usimdhamini nitonye itakula kwakoHalaf jana rejao alikuwa analembea ndogo ndogo mjeshi nikamchimba mkwala aachane na mali ya nitonye. nipo upande wako mkuu.
Mambo zako vp amyner? unajua nikiona mwandiko wako tu nasahau mpaka middle name yangu. Lavu iz blaindi jamaniNataka kutoa copy..
Haikuhusu! Umemwona kaby kaanza tena kumpenda klorokwini?.. Yetu macho.
Mh sijakuelewa klorokwini....Mambo zako vp amyner? unajua nikiona mwandiko wako tu nasahau mpaka middle name yangu. Lavu iz blaindi jamani
Halaf jana rejao alikuwa analembea ndogo ndogo mjeshi nikamchimba mkwala aachane na mali ya nitonye. nipo upande wako mkuu.
Kabana acha wizi bana, jana si mlikuwa mnavuana nguo na uporoto hapa chit chat wewe?niPM basi uniambie, sina raha mwenzio lol
Amerudi wapi?
Dah! neno la Mungu linasema tupendane ErickMh sijakuelewa klorokwini....
Unamtaka krolo au mbona inaonekana una wivu
Nimerudi darlin, naona wanakusumbua napata wasiwasi na kaby, ana CV mbaya! Danger kwa waume za watu!
Dah! neno la Mungu linasema tupendane Erick
bro vipi?mbona leo unanifatilia sana?pyaa