Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #301
Kabakabana ukimwona Amyner mwambie nimemmiss sana.....
Sawa eeeee
niko nae hapa ana jibaba linalojiweza,subiri kwanza wanakiss
Kabakabana ukimwona Amyner mwambie nimemmiss sana.....
Sawa eeeee
Ndio naelekea nyumbani sasa hivi kwani leo ulimuona?
Kwani niloposema ushaibiwa hukuelewa?Ndio naelekea nyumbani sasa hivi kwani leo ulimuona?
niko nae hapa ana jibaba linalojiweza,subiri kwanza wanakiss
Kwani niloposema ushaibiwa hukuelewa?
Mbona wanirusha roho au unataka kunipindua?
Mimi tena....huko kwako mzee
Unajua utani mwingine sio mzuri...tena kwa ma darling
Nilitekwa na majambazi
Umesikia kakako alitekwa na majambazi?...lol.kweli huyu hapa anapiga castle light hapa, pyaaa huyu fataki ana kitambi kinagusa mezi
Umesikia kakako alitekwa na majambazi?...lol.
Hahaha! Nimejichokea walah tena!.. Umepinda kaby lol.kuna mmama mbonge ana masaburi ya kichina, ndo huwa anamuita jambazi
Pole kwa kutekwa!.. Hawajakudhuru lakini eeh?
kuna mmama mbonge ana masaburi ya kichina, ndo huwa anamuita jambazi
Ndio wenyewe, tukusaidie nini?huu sio wimbo wa waifu wake lucky dube huu?
We kaby unafanya kazi internet café?
Ameshindwa Bishanga kaby atawezea wapi? Usijali darling mie nakuamini zaidi ya sana!Embu tema mate chini usinigombanishe na my wife kaby
Mungu ni mwema honey!..Namshukuru Mola hawajanidhulu maana maombi yako yamenisaidia kweli my love