Trump vows to immediately deport up to three million immigrants

Acha mihemko!

Mbona sisi tukiwakamata waethiopia tunawarudisha kwao! na kwenye runinga tunawaonesha kwamba ni WAHAMIAJI HARAMU! kuna ubaya gani kama wanataka kusaifsha nchi yao kama sisi tunavofanya kuwarudisha wahamiaji haramu?

Acheni mihemko! hakuna nchi yeyote duniani ambayo ipo tayari kukubali mmhamiaji haramu kuishi nchi mwake! inakaribisha uhalifu wa kila aina!

Kama mwananchi wake mvuta unga , jambazi kuna nchi ambayo imekosa hao watu? waTanzania acheni mihemko!

mihemko wacha wewe..Wewe umesikia kuna wahamiajai marekani ? wanatoka wapi ? yeye anakusudia kila mgeni ni haramu, ataangalia green card zao.
na anasema sio kwa kusafisha bali kwa chuki. sisi tunapowafukuza waburundi hatufanyi kwa chuki wala hakuna matamko ya vitisho bali ni sheria tu hutumika
huyu pimbi yeye anasukumwa kwa chuki dhidi ya watu weusi..na anawachukia kweli kama wale walofanya biashara ya watumwa...
akifukuza na wao wafukuzwe...kama kaingia njia ya panya sawa lakini kwa sheria sio kwa kudhalilisha, na huko hakuna wafrika haramu wameingiaje ? baada ya sept 11 wahamiaji wote walirudishwa kwao, hakuna mtanzania mzamiaji huko...huwezi kufanya kazi wala kusoma ukiwa haramu
 
Mbona Tanzania wahamiaji haramu urudishwa makwao, hata wakimbizi nchi zao zikiwa shwari wanakuwa deported sasa Trump kwa nini alahumiwe?

Wakazi ambao awako documented unajua wanaweza kufanya nini katika vices Trump alizo taja bila kusahau Ugaidi ambao wanaweza kujipenyeza kwa kupitia mipaka ya Mexico na Merikani - Trump awezi kusema vitu bila ya kuwa na takwimu sahihi, anajua wazi wazi kwamba mambo mengi ya kiharifu yanafanywa na Blacks na Latino je, hapo kakosea nini? Mnataka aogope kusema ukweli.
Wewe umesikia kuna wahamiajai marekani ? wanatoka wapi ? yeye anakusudia kila mgeni ni haramu, ataangalia green card zao.
na anasema sio kwa kusafisha bali kwa chuki. sisi tunapowafukuza waburundi hatufanyi kwa chuki wala hakuna matamko ya vitisho bali ni sheria tu hutumika
huyu pimbi yeye anasukumwa kwa chuki dhidi ya watu weusi..na anawachukia kweli kama wale walofanya biashara ya watumwa...
akifukuza na wao wafukuzwe...kama kaingia njia ya panya sawa lakini kwa sheria sio kwa kudhalilisha, na huko hakuna wafrika haramu wameingiaje ? baada ya sept 11 wahamiaji wote walirudishwa kwao, hakuna mtanzania mzamiaji huko...huwezi kufanya kazi wala kusoma ukiwa haramu
 
Anawafukuza illigal immigrants. Yaani wahamiaji haramu. Wawe waislam, wakiristu, wakiristo, wafrika, wamexico, nk....ni kosa kisheria kuishi nchi za watu bila kibali. Uhalifu hauishi na ngumu kutambua nani gaidi, muuza unga au jambazi. Heshima ya nchi ni kuwa na uwezo wa kutambua wageni na kuwalinda pia.
Trump anapata muongozo kwa senators na US ina katiba.
what ever anamihemko na chuki za watu weusi...sidhani afrika tuna wahamiaji haram huko wa kuitwa rapists au kazi yetu sexy tu...system ya huko huwezi kusoma wala kufanya kazi ya maana kama huna green card. wengi ni halali. ...wapo walio loweya wakazamia baada ya visa zao kuisha lakini wengi walirudishwa na wengine wali apply green card. wanajulikana ila huyu jamaa ana chuki. katiba ipo lakini sio lazima kufatwa. na inajulikana wazi US watafata katiba kwa raia wao tu na sio wageni.
Unfahamu Guantamano ni kinyume cha katiba yao , na zile kambi za mateso wanazo ziendesha nje ya US ni kinyume ya katiba yao wenyewe...
Anaweka Judge wake ambaye atasimamia mahitaji yake ya chuki dhidi ya races ambazo sio wazungu weupe...he believe in White supremacy
 
Back
Top Bottom