Trump vows to immediately deport up to three million immigrants

Stella yule chagga baby ajiandae , ila marekani ni tofauti na Germany , Germany kama hauna karatasi huwezi kuajiriwa , ila marekani watu wasio na documents wanafanyakazi kama kawaida
Duh naona una beef nae wewe,lazima alikupora bwana
 
Hata hao wazungu wapo Rapists, wauaji , wavuta unga na wauza unga. Pia kuna Blacks ambao ni Rapists na wala unga lakini ni Raia wa Marekani atawapeleka wapi ? au atawaua wote ? sana anakomalia blacks na muslims lakini sio white rapists.

Mimi nadhani huu ni wakati Afrika ikajitambua, ikajiheshimu na ikasimama. once akitekeleza azimio lake la kuwafukuza wafrika kibaguzi basi umoja wa AU upitishe azimio la kuwafurusha Wamarekani wote waliopo Africa. Na kama wana biashara zao zitaifishwe na ile migodi ya akaina Bush nayo itaifishwe.
Afrika ikifanya hivo , Middle east nayo ikifanya hivyo Asia nayo basi huyu hatokaa muda mrefu atakua impeached na kutolewa mkuku .

ila inaka vidume kweli kuamua hayo kwa pamoja. Nmauamini Mugabe anaweza wengine hawajiamini
 
Kuishi kwenye nchi ya watu kinyume na sheria ni uhalifu. Criminal offence
 
Huyu bwana target yake kubwa ni Mexicans,jamaa wapo wengi kweli wanacross border wakifika wanazaliana,sasa watoto raia wazazi illegal immigrants,sijui inakuwaje hapo?!ila kiukweli jamaa wanapiga mzigo hakuna mfano,kuna nguvu kazi kubwa sana inataka kuondoka,mimi nadhani awe mwangalifu na kushughulika na wale tu wenye criminal records,hao wengine wawekwe chini ya uangalizi na kuchujwa taratibu,baadae waliobaki wawe documented huku hizo hatua nyingine kali kuzuia uhamiaji haramu mpakani zikiendelea kuchukuliwa.Vinginevyo akiweka taratibu kali zitakazopunguza kabisa hamu ya watu kwenda U.S atakuwa amekiuka "kanuni ya asili" iliyosababisha America ifikie hapo ilipo
kwa kuwa na maendeleo makubwa na inaweza kuleta negative impact kwa uchumi wa U.S baada ya muda fulani.
Sure!
 
Hata hao wazungu wapo Rapists, wauaji , wavuta unga na wauza unga. Pia kuna Blacks ambao ni Rapists na wala unga lakini ni Raia wa Marekani atawapeleka wapi ? au atawaua wote ? sana anakomalia blacks na muslims lakini sio white rapists.

Mimi nadhani huu ni wakati Afrika ikajitambua, ikajiheshimu na ikasimama. once akitekeleza azimio lake la kuwafukuza wafrika kibaguzi basi umoja wa AU upitishe azimio la kuwafurusha Wamarekani wote waliopo Africa. Na kama wana biashara zao zitaifishwe na ile migodi ya akaina Bush nayo itaifishwe.
Afrika ikifanya hivo , Middle east nayo ikifanya hivyo Asia nayo basi huyu hatokaa muda mrefu atakua impeached na kutolewa mkuku .

ila inaka vidume kweli kuamua hayo kwa pamoja. Nmauamini Mugabe anaweza wengine hawajiamini
Anawafukuza illigal immigrants. Yaani wahamiaji haramu. Wawe waislam, wakiristu, wakiristo, wafrika, wamexico, nk....ni kosa kisheria kuishi nchi za watu bila kibali. Uhalifu hauishi na ngumu kutambua nani gaidi, muuza unga au jambazi. Heshima ya nchi ni kuwa na uwezo wa kutambua wageni na kuwalinda pia.
Trump anapata muongozo kwa senators na US ina katiba.
 
Donald Trump asema kati ya wahamiaji haramu milioni mbili ama tatu watasafirishwa kutoka Marekani baada ya kuapishwa kuwa rais wa chi hiyo.
Katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Marekani,CBS, Trump amesema wahamiaji wote wenye rekodi za uhalifu, ikiwemo makundi ya wahalifu na walanguzi wa dawa za kulevya ndio watakuwa kipaumbele chake .
Hatma ya wahamiai haramu milioni nane na ushee waliosalia itafahamika mara tu mpaka utakapokuwa salama.
Donald Trump ameongeza kuwa sehemu ya ukuta ambao aliahidi kujenga kwenye mpaka baina ya nchi yake na Mexico, unaweza kuwa ni uzio.
FB_IMG_1479096980129.jpg
 
Kichwa chako cha uzi kimekaa kichochezi.

Msimnukuu vibaya huyu jamaa

Atarejesha wahamiaji Haramu na sio Legal Immigrants

Hivyo watu wenye vibali halali vya kuishi Marekani kama GreenCard na kadhalika hilo haliwahusu.
 
[Donald Trump kuwarejesha wahamiaji kwao - BBC Swahili] is good,have a look at it! Donald Trump kuwarejesha wahamiaji kwao - BBC Swahili rais mteule wa marekani asema atakapo Ingia madarakani kazi ya kwanza atakayo ifanya ni kuwarejesha makwao wahamiaji haramu kati ya milioni 2 hadi tatu
==============
Donald Trump asema kati ya wahamiaji haramu milioni mbili ama tatu watasafirishwa kutoka Marekani baada ya kuapishwa kuwa rais wa chi hiyo.

Katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Marekani,CBS, Trump amesema wahamiaji wote wenye rikodi za uhalifu, ikiwemo makundi ya wahalifu na walanguzi wa dawa za kulevya ndio watakuwa kipaumbele chake .

Hatma ya wahamiai haramu milioni nane na ushee waliosalia itafahamika mara tu mpaka utakapokuwa salama.

Donald Trump ameongeza kuwa semhemu ya ukuta ambao aliahidi kujenga kwenye mpaka baina ya nchi yake na Mexico, unaweza kuwa ni uzio.

3ed2dd71ebcd5e27cb774f219892a390.jpg

Chanzo: BBC Swahili
 
Wahamajiaji haramu nchini humo wanakadiriwa kufika Milioni 11.Katika utawala wa Obama aliwarudisha takribani watu milioni mbili.
 
Hata hao wazungu wapo Rapists, wauaji , wavuta unga na wauza unga. Pia kuna Blacks ambao ni Rapists na wala unga lakini ni Raia wa Marekani atawapeleka wapi ? au atawaua wote ? sana anakomalia blacks na muslims lakini sio white rapists.

Mimi nadhani huu ni wakati Afrika ikajitambua, ikajiheshimu na ikasimama. once akitekeleza azimio lake la kuwafukuza wafrika kibaguzi basi umoja wa AU upitishe azimio la kuwafurusha Wamarekani wote waliopo Africa. Na kama wana biashara zao zitaifishwe na ile migodi ya akaina Bush nayo itaifishwe.
Afrika ikifanya hivo , Middle east nayo ikifanya hivyo Asia nayo basi huyu hatokaa muda mrefu atakua impeached na kutolewa mkuku .

ila inaka vidume kweli kuamua hayo kwa pamoja. Nmauamini Mugabe anaweza wengine hawajiamini

Mbona Tanzania wahamiaji haramu urudishwa makwao, hata wakimbizi nchi zao zikiwa shwari wanakuwa deported sasa Trump kwa nini alahumiwe?

Wakazi ambao awako documented unajua wanaweza kufanya nini katika vices Trump alizo taja bila kusahau Ugaidi ambao wanaweza kujipenyeza kwa kupitia mipaka ya Mexico na Merikani - Trump awezi kusema vitu bila ya kuwa na takwimu sahihi, anajua wazi wazi kwamba mambo mengi ya kiharifu yanafanywa na Blacks na Latino je, hapo kakosea nini? Mnataka aogope kusema ukweli.
 
Duh Trump ataumiza watu wengi sana lakini ukiangalia sioni sababu mtu kwenda kuzamia nchi ya watu wakati nchi yako ina amani na fursa kibao.
 
Hata hao wazungu wapo Rapists, wauaji , wavuta unga na wauza unga. Pia kuna Blacks ambao ni Rapists na wala unga lakini ni Raia wa Marekani atawapeleka wapi ? au atawaua wote ? sana anakomalia blacks na muslims lakini sio white rapists.

Mimi nadhani huu ni wakati Afrika ikajitambua, ikajiheshimu na ikasimama. once akitekeleza azimio lake la kuwafukuza wafrika kibaguzi basi umoja wa AU upitishe azimio la kuwafurusha Wamarekani wote waliopo Africa. Na kama wana biashara zao zitaifishwe na ile migodi ya akaina Bush nayo itaifishwe.
Afrika ikifanya hivo , Middle east nayo ikifanya hivyo Asia nayo basi huyu hatokaa muda mrefu atakua impeached na kutolewa mkuku .

ila inaka vidume kweli kuamua hayo kwa pamoja. Nmauamini Mugabe anaweza wengine hawajiamini

Acha mihemko!

Mbona sisi tukiwakamata waethiopia tunawarudisha kwao! na kwenye runinga tunawaonesha kwamba ni WAHAMIAJI HARAMU! kuna ubaya gani kama wanataka kusaifsha nchi yao kama sisi tunavofanya kuwarudisha wahamiaji haramu?

Acheni mihemko! hakuna nchi yeyote duniani ambayo ipo tayari kukubali mmhamiaji haramu kuishi nchi mwake! inakaribisha uhalifu wa kila aina!

Kama mwananchi wake mvuta unga , jambazi kuna nchi ambayo imekosa hao watu? waTanzania acheni mihemko!
 
Duh Trump ataumiza watu wengi sana lakini ukiangalia sioni sababu mtu kwenda kuzamia nchi ya watu wakati nchi yako ina amani na fursa kibao.
Funniest People Reaction Over Donald Trump Won 2016 President Election compilation moment Part 1

Source: Lew Wys
 
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump akisisitiza kuwafukuza wahamiaji haramu wapatao milioni tatu atakapoapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo Tuwaandalie ndugu zetu sehemu za kukaa

Back
Top Bottom