The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
nitajaribu kusitisha vita hivyo. Lakini nadhani kile ambacho Urusi inafanya ni cha kusikitisha. Warusi wengi wanakufa. Waukraine wanakufa. "Ndio, tutaweka vikwazo. Lakini sijui kama vikwazo vinamsumbua.”
Trump alitangaza kuiwekea Urusi vikwazo ikiwa kufikia Agosti 8, haitoonyesha dalili zozote za kusitisha mapigano huko Ukraine.
Trump alitangaza kuiwekea Urusi vikwazo ikiwa kufikia Agosti 8, haitoonyesha dalili zozote za kusitisha mapigano huko Ukraine.