Nawashangaa wanaomshabikia huyu kichaa mnyoa panki, Siku North Korea ikiangamizwa, dunia italia Sana, Hamtaweza Ukiona China wala Russia ikimsaidia.
Wataishia kusema Marekani anaonea Sana wenzake, by the way, Japan kijeshi ipo vizuri mno, sijui ni wapi Huyu chizi atajiokoa, watu wanashabikia bila kuujua undani wa US na Japan.
Mambo yapo area 51 Nevada, hata Russia anajua tu, huwa Marekani wakichukia kabisa, hamtamwona Putin akiweka pua, waache mkuu waendelee na ushabiki ila ukweli hadi sasa hvi ni kuwa, US haina mpinzani.