Trump njia nyeupee uchaguzi wao wa 2020. Kama Democrats wakimchagua shoga agombee Urais...

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,883
109,212
IMG-20200213-WA0011.jpg

Picha ya juu hapo inaonesha mgombea aliyepita wa chama cha Democrats akipongezwa na "mumewe"!

Mwanasiasa wa Amerika Pete Buttigieg alipanda kutoka kuwa meya mdogo wa jiji kwenda kuwa mgombea wa urais wa chama cha Democrats ndani ya mwaka mmoja tu.

Jee, atachaguliwa, kuwa shoga wa wazi wa kwanza kuwa Rais wa USA?

Binafsi nasema ni heri abaki Trump mara millioni kuliko kinyaa huyu.
 
Aliyeandika hii atakuwa mwenzenu...

Hakuna sehemu kwenye hiyo makala palipoandikwa kwamba huyo jamaa ndo mteuliwa wa chama cha Democrats kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Novemba!

Umeisoma makala lakini hujaielewa!

Primaries na caucuses za kumpata mgombea ndo kwanza zimeanza.

Iweje huyo meya ndo awe mpinzani wa Trump kwenye uchaguzi mkuu?

Soma vitu taratibu na uvielewe kwanza
 
View attachment 1355902

Picha ya juu hapo inaonesha mgombea aliyepita wa chama cha Democrats akipongezwa na "mumewe"!

Mwanasiasa wa Amerika Pete Buttigieg alipanda kutoka kuwa meya mdogo wa jiji kwenda kuwa mgombea wa urais wa chama cha Democrats ndani ya mwaka mmoja tu.

Jee, atachaguliwa, kuwa shoga wa wazi wa kwanza kuwa Rais wa USA?

Binafsi nasema ni heri abaki Trump mara millioni kuliko kinyaa huyu.
JOE Baiden hakugombea tena?
 
Inaandikwa " his husband.." Keingine "..her husband.." Ipi sahihi hapo?

Tukirudi kwenye hoja, sio kwamba jamaa amejitokeza kuwa miongoni mwa wanaouwania urais kupitia Democrats ili atakaeibuka kidedea ndio apambane na Trump?
 
Back
Top Bottom