Trump nae ni mduanzi tu, kashindwa kukaza

Trump nae ni mduanzi tu, kashindwa kukaza

Kuna namna wamarekani wamezembea hadi taifa lao linaanza kupungua influence Duniani. Mchina sio taifa la kumtisha marekani ni uzembe wa ndani wa wamarekani.

Marekani mifumo yake ya ndani ndio inayo mdhoofu. Mambo ya haki sawa, feminism, Atheism, LGBTQ agenda, kuharibu nuclear family structure, kuendekeza vita zisizo na ulazima kwenye ardhi za mataifa mengine. Hizi ni miongoni mwa sera zinazoidhoofisha marekani day by day.
Akishazembea ndo kashatishwa na mchina au kuna kitisho kingine tusubiri maana tayari tuliona maputo ya kichina katika ardhi ya Marekani.
 
Trump amesanda kwenye kwa ku exclude tarrifs kwenye bidhaa za electronics frok china.

Amegundua wamarekani hawawezi kutengeneza electronics wenyewe bila kusaidiwa na mchina
 
Msichokijua trump mda wote alikua step mbele kuliko wote inaitwa mchezo wa chess....trump aliwekea nchi zote tariff akijua mazara yake kiuchumi.....na kweli uchumi ukashuka watu wakapata hasara sana.... lakjn ukiangalia iyo hasara ilikua kimkakati...ghafla akatoa tariff zote ikabaki china tu...hilo siyo kwa kukurupuka na ndo maana kabla ya kutangaza kuzitoa tariff alitweet akatoa kidokezo kwamba wote waliopata hasara ninwakati sahihi wa kununua kurudisha hasara zao...hpo wakina elon wamerudisha pesa zao walizopoteza. Haya mambo yote yamekuja ni trump alikua anamtafuta Mchina....na trump anakibuli kwa sababu marekani ndo consumer mkubwa wa bidhaa za kichina....china sawa wanafanya biashara nchi nyingi lakin consuming capacity ya marekani ni kubwa kuliko nchi nyingine combine zaidi ya dola bilion 500....so mchina asipo uza marekani uchumi wake utashuka...kwa kulijua hilo trump kampandishia tariffs hili na yeye afaidike mara mbili.
Maneno meeeeeengi
 
China ni atheist.

Kuna raise na fall of Empires hii ni lazima itokee iwe unataka au hautaki hata China iliwahi ku raise mara nyingi na ku fall mara nyingi tu katika historia yake na ku raise huku tena karne ya 21 sio kitu kipya kabisa kwao katika historia ya taifa lao.

Ni wewe tu ndio unaona Marekani kuanza kuzidiwa nguvu na China ni jambo la kushangaza kwa anayefahamu historia ya China hata kwa udogo hawezi washangaa wachina kwa hiki wanachofanya sasa.

Wakati wachina wanajenga great wall wazungu wote wa marekani na ulaya walikuwa wanakunya vichakani huko ulaya mind you hapa taifa la marekani wala lilikuwa haifikiriwi kuwepo duniani.
Kabla ya Japan 1937 kuingia china na kuwafanya atakavyo??😀
 
Msichokijua trump mda wote alikua step mbele kuliko wote inaitwa mchezo wa chess....trump aliwekea nchi zote tariff akijua mazara yake kiuchumi.....na kweli uchumi ukashuka watu wakapata hasara sana.... lakjn ukiangalia iyo hasara ilikua kimkakati...ghafla akatoa tariff zote ikabaki china tu...hilo siyo kwa kukurupuka na ndo maana kabla ya kutangaza kuzitoa tariff alitweet akatoa kidokezo kwamba wote waliopata hasara ninwakati sahihi wa kununua kurudisha hasara zao...hpo wakina elon wamerudisha pesa zao walizopoteza. Haya mambo yote yamekuja ni trump alikua anamtafuta Mchina....na trump anakibuli kwa sababu marekani ndo consumer mkubwa wa bidhaa za kichina....china sawa wanafanya biashara nchi nyingi lakin consuming capacity ya marekani ni kubwa kuliko nchi nyingine combine zaidi ya dola bilion 500....so mchina asipo uza marekani uchumi wake utashuka...kwa kulijua hilo trump kampandishia tariffs hili na yeye afaidike mara mbili.
Pro America tulia sawa iingie
 
Back
Top Bottom