Trump na siasa za kuigawa dunia

Trump na siasa za kuigawa dunia

Ni siku kadhaa tangu marekani ipate raisi wake mteule
Mengi yamesemwa na mengi yametokea kutokana na hatua hiyo ya wamarekani kumchagua mtu laghai
Ni ukweli husiopingika kuwa kiongoz wa marekani ni mtu mwenye ushawishi mkunwa sana dunia
Hivyo wamarekani kumchagua mtu mbakaji, mdharirishaji, fedhui, mropokaji, mbaguzi ni dalili kuwa dunia yetu sasa inaendelea kugawanyika

Tatizo hamtaki ukweli. Alimbaka nani? Tatizo hapa watu hawawezi kujitokeza maana tumepigwa ribiti, si ajabu hata viongozi wa hapa waliwahi ku temper na mabinti. Namnie ameeopoka.nini?
 
Back
Top Bottom