Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,601
Nadhani Trump na timu yake wananikumbusha viherehere vya baadhi ya mashabiki waliokua wanaimba huu wimbo
Jamaa ni mbabe kuliko Mwimbishaji wa CCM. Sasa waliokuwa wanamshangilia nadhani wanalia kama ndugu zetu hapa nyumbani. Lakini uzuri wenzetu wanaruhusiwa kumchamba katika vyombo vya habari bila kupelekwa Lupango hapo ni vizuri wasomeshaji wetu wanatakiwa wajue. Naweka clip hapo chini
Huyu jamaa ni raia wa Afrika ya kusini muangalie anayemnanga Rais wa Marekani unadhani ingekuwa hapa kwetu angemaliza wiki?????
Hivi wanasiasa wetu huwa hawaangalia hata vyombo vya habari vya nje wajifunze jinsi ya kuvumiliana??/
fikiria Mpoki amuigize mkulu?????