Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Have you checked your ass??!!ANAYEIKUBALI KAULI HII AJIANGALIE YEYE MWENYEWE KWANZA
Have you checked your ass??!!ANAYEIKUBALI KAULI HII AJIANGALIE YEYE MWENYEWE KWANZA
Nimejiangalia, nimeona am stuck inside a shitholeANAYEIKUBALI KAULI HII AJIANGALIE YEYE MWENYEWE KWANZA
Sema kwa nafsi yako... Kama wewe ni mavi is you do not generalize.Acheni ujinga nyie sisi ni shit-hollers. Whether you want it or not.
Pinga kwa vitendo, kwani kaongea uongo? "You are good at sex only" poor AfricaKwa niaba ya vijana wa Kiafrika, hususani Tanzania tunao penda kuona tuna heshimiwa, nina laani vikali kauli ya Rais wa Marekani dhidi ya bara la Afrika na Haiti. Kauli yake ni ya kibaguzi na udhalilishaji isiyo kubalika, Tunahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Yamkini ametoa kauli hiyo kutokana na Historia ya viongozi wetu wa Afrika, walio jaa tamaa za madaraka, wanao kiuka misingi ya demokrasia, wanao fadhili mauwaji, wala rushwa, viongozi wasio wajibika nk ila ni vema ange toa nini kifanyike kwa hao viongozi .
Nini Maoni Yako?
Ndimi Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
Yes.. If u are a real black Marxist.. I think you know how he argued about his theory of social development... Yes we are poverty..but who is behind our poverty and who caused it...*Ameandika Edo Kumwembe*
Trump...tofauti kati ya Trump na wazungu wengine ni kwamba Trump sio mnafiki...wazungu wengine pia wanatufikiria sisi kama Trump anavyotufikiria.
Wanatuona ni wajinga, Sema tu huwa hawasemi kama Trump. Yes, Trump kasema kweli sisi ni from shit hole countries.
Ni kweli, kakosea wapi? Kwani hatuoni viongozi wa Afrika na wananchi wake walivyo wanafiki na wasio na upeo wa kufikiri sawa sawa....itazame Tanzania, imezungukwa na kila kitu ndani yake lakini ni maskini.
Kuna nchi za wazungu zimezungukwa na barafu lakini zimetupita utajiri. Na bado Watanzania tunazamia nchi hizo hizo kwenda kusaka maisha na kuacha Madini, bahari, Wanyama, ardhi yenye rutuba nyumbani.
Trump anasema kweli. Tujitazame sisi vizuri, kwa mfano, Kilomita tano kutoka katika migodi kuna shule ya msingi haina Choo cha shimo.
Sawa, utasema wazungu wenyewe wanatuibia, lakini kumbe wanatuibia kwa ujinga wa nani? Kwa ujinga wetu wenyewe ambao umeasisiwa na wale watalaamu wa kusema 'Ndiooooooo' pale Dodoma.
Akina Zitto Kabwe walipambana lakini wakaonekana wapuuzi. Ndio, we are shit hole country kama zilivyo nchi nyingine za Afrika....Trump sio mnafiki.....Dunia nzima inajua kuwa korosho kwao ni wilaya ya Newala Mtwara...lakini mpaka sasa Newala haijaunganishwa kwa Lami na Mtwara mjini.
Una mifano mingapi kama hii kwa kuichunguza Tanzania yako tu?..Trump sio mnafiki...... Nitarudi.
*EDO KUMWEMBE*
hakusema African leaders, yy kasema wote ikiwemo mm na ww!SHIT HOLE safiiii sanaaaa BIG UP TRUMP umeyachana live DICTATORS OF AFRICA CONTINENT narudia tena All African Leaders are SHIT HOLES by TRUMP, NAPATA RAHA SANA NGOJA NIMALIZIE SHIMHWAAAAAA INA STIM BALAA TO THIS WEEKEND
Acha hizo shit holler, kwani kaongea uongoSema kwa nafsi yako... Kama wewe ni mavi is you do not generalize.
Shithole.... Shimo la taka/mavi...sasa basi kama ameiita africa shithole jiulize wewe ni nani... Binafsi siyo kama umekubali kuwa mavi or shit ni wewe.
Kwa niaba ya vijana wa Kiafrika, hususani Tanzania tunao penda kuona tuna heshimiwa, nina laani vikali kauli ya Rais wa Marekani dhidi ya bara la Afrika na Haiti. Kauli yake ni ya kibaguzi na udhalilishaji isiyo kubalika, Tunahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa.
Yamkini ametoa kauli hiyo kutokana na Historia ya viongozi wetu wa Afrika, walio jaa tamaa za madaraka, wanao kiuka misingi ya demokrasia, wanao fadhili mauwaji, wala rushwa, viongozi wasio wajibika nk ila ni vema ange toa nini kifanyike kwa hao viongozi .
Nini Maoni Yako?
Ndimi Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
haahaha msema kweli ni mpenzi wa munguTena katuita jina zuri....km raia wa wanyonge anaweza kuingia madarakani kitu cha kwanza kufanya ni kuwajengea wanyonge uwanja wa ndege chato!!!...pengine tunstahili jina baya zaidi ya hilo cjui tuiywe tz asshole country??!!
Hapo African shithole pana vitofari viwili lakini hata hiyo ni nafuu kuna waafrika tunaenda vichakani na ziwani what a shit hole!
Kapiga kweli. Maana badala ya kujadili kwa kina namna ya kupambana na mapungufu yetu tunataka kupambana na Trump. Hapa tuumeze ukweli mchungu na kuufanyia kazi kisawasawa hadi wanao tudharau kwa sauti au kimyakimya waishiwe pumzi.kama ni nyoka basi trump kapiga kichwani .
Huyo unaempenda atakutia kidole siku moja..atuondoe kwenye kwa mkakati upi ambao wapinzani wanaupinga.anza uzwazwa boya wewe.Trump amewalenga WAAFRIKA jamii ya wafuasi wa chadema wanaopinga juhudi za raisi wetu kutuondoa Kwenye umaskini na rushwa. Isitoshe rais anatetea rasilimali zetu za madini na Maliasili zetu ila wafuasi wa CHADEMA kazi yao kumpinga na kumnyooshea kidole na kumuita dikteta.
Trump endelea kuwapa ukweli WAAFRIKA hawa waovu ili wajitambue.