Viongozi wa vyama wale viapo vya uaminifu ili kupunguza kuhamahama

Noel C Shao

Member
Joined
Jan 19, 2017
Messages
72
Points
150

Noel C Shao

Member
Joined Jan 19, 2017
72 150
Hatuwezi kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa na kiuchumi katika taifa kupitia upinzani kama tukiwa na watu wanao hama hama! Ifike wakati tuweke utaratibu mazubuti wa kuwa na viongozi/wabunge/madiwani . Kama kweli mtu anataka kuaminiwa kupewa nyadhifa fulani ndani ya chama, aape/ale kiapo cha uaminifu, kiapo cha kutunza siri, na kiapo cha kutohama. Tumuapishe kwa Biblia kama ni mkristo, au Msahafu kama ni mwislamu na kama hana dini tuangalie utaratibu utakaofaa!

Ndimi, Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
 
MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,240
Points
2,000

MPadmire

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,240 2,000
Chama imara ni Wingi wa wanachama Hai au kuingia kwa viongozi wachumia tumbo? Ng'ombe kasoro mkia

Kura ndio Ushindi au kuna namna ingine ya kupata kura
Idadi ya wanachama hai wa chama ndio ishara ya kura nyingi

Je Wananchi wanafurahishwa na nini ili wajiunge na chama fulani? Sera au mafanikio ya kutimiza ilani?

Je Wananachi wanafurahia rasili mali na unafuu wa maisha?

Wafanyakazi wanaridhika na matumizi ya pesa zao katika hii mifuko?
 
silent kills

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Messages
567
Points
1,000

silent kills

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2016
567 1,000
Mi nadhani hata uapishwe na Mungu ukishakua na roho ya tamaa lazima utaasi Tu??chukulia mfano WA ibilisi kabla ya kushushwa kuzimu alikua karibu na Mungu..mfano mwingine Ni yuda iskariot kabla ya kuchukua vipande vyake hakuna alieamini kama ndo atakuja kumsaliti Yesu..na nahisi kama Yesu angewaambia kina petro kwmba atakaekuja kunisaliti Ni yuda nahisi petro na wenzake wangemkula yuda Nyama bila kumpika wala chumvi....na kwa style hii Ni ngumu Sana kubadili nchi maana naona badala ya watu kubadilisha mazingira naona mazingira yanabadilisha watu
 
Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
339
Points
500

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
339 500
Hatuwezi kuleta mabadiliko makubwa ya kisiasa na kiuchumi katika taifa kupitia upinzani kama tukiwa na watu wanao hama hama! Ifike wakati tuweke utaratibu mazubuti wa kuwa na viongozi/wabunge/madiwani . Kama kweli mtu anataka kuaminiwa kupewa nyadhifa fulani ndani ya chama, aape/ale kiapo cha uaminifu, kiapo cha kutunza siri, na kiapo cha kutohama. Tumuapishe kwa Biblia kama ni mkristo, au Msahafu kama ni mwislamu na kama hana dini tuangalie utaratibu utakaofaa!

Ndimi, Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
:eek::eek::eek::eek::eek:Kuhamahama ni sehemu ya siasa. Hebu kila waliohama warejee kwenye chama chao cha kwanza ndio waraka huu uanze kutumika:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Forum statistics

Threads 1,380,116
Members 525,695
Posts 33,765,340
Top