Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Leo ndiyo nimeamini kwamba kweli Dunia hii ni duara na kwamba hakuna jipya kila kilichopo kilikuwepo na kwamba yote tuyafanyayo ni marudio tu!
Leo Raisi wa USA, Barack Obama anasema kwamba ,,D.Trump is unqualified to be President" haya maneno yananikumbusha mwaka 2008 wakati Barack Obama alivyokuwa anagombea Uraisi kwa mara ya kwanza, pia walikuwa wanasema he is not qualified, hasa Hillary Clinton alikuwa anatumia sana huo msemo dhidi ya Obama, kuna wengine walikuwa wanasema ,,we dont't know this guy how can we trust him" wakimaanisha Obama, na waliokuwa wanasema hivi aliwaita racists kwamba wanambagua kwa kuwa hawataki Raisi asiye Mzungu, leo hii na yeye anasema yale yale kwamba D.Trump is unqualified sasa sijui yeye aliaminiwa vp?