Trump: ‘I never said when attack on Syria would take place’

International Politics is all about organised hypocrisy.

PS: Its not America that drove ISIS out.....

Wamarekani na waingereza ni watu wa kuwa nao makini sana.

Rais Putin ndiye mpaka sasa anafahamu namna ya kucheza nao.

Ni wao walomtumia Sadam Hussein katika vita ya Iraq na Iran na mwisho wakampa gesi ya sumu atumie dhidi ya wairan.

Uingereza pia ilishiriki kuwatibu baadhi ya wananachi walojeruhiwa wakti ule.

Na pia wachambuzi wengi tunaamini kwamba Sadam Hussein na Osama Bin Laden waliuawa kuficha mambo makubwa ambayo kama wangefikishwa mahakamani wangeyatema Live.

Ndiyo maana huwa nawaasa sana baadhi ya wanachama hapa kupima sana kabla ya kuzungumza maana haya mambo ya kidiplomasia ni magumu na yataka fikra pevu.
 
Bado sana,inawezekana hata mjukuu wako asishuhudie US wakianguka.Siku Petrodollar System ikiwa replaced hapo ndo tutashuhudia mwisho wa marekani,but as long as we keep using Dollar,we are funding them.
Bonge la point mkuu, Watu wengi hawalijui hili kwamba Marekani haiwezi anguka bila petro-dollar economy kuanguka, upo sawa kabisa mkuu. Lakini petro-dollar economy itaangukaje? Itaanguka tu pindi endapo marekani itapigana vita tena vita kubwa sana.
 
Point!!.
Na hiyo vita kubwa hawawezi anguka peke yao,inawezekana US akaanguka na super power runners wengine wote.So watakuwa wanaanza upya wote.
 
Point!!.
Na hiyo vita kubwa hawawezi anguka peke yao,inawezekana US akaanguka na super power runners wengine wote.So watakuwa wanaanza upya wote.
Can Arab league under the umbrella of OPEC revive petrodollar exchange system and opt for dinar. ..!??
Thinking aloud!
 
Nilishangaa sana eti Rais anajibizana na balozi? Busara na hekima za Putin huenda zikaokoa roho za maelfu ya watu wasio na hatia.
Wasipigane kwanza ili kwenye forex nifikishe hata $35,000 .maana soko la sarafu litayumba sana wakipigana
 
Hapa Balozi wa Urusi na Marekani wana-kiss baada ya kutifuana sana kwenye Kikao cha Baraza la Ulinzi na Usalama.

Teh teh teh teh
:D:D:D:D:D:D
Waione: Ndugu Palantir , TUJITEGEMEE , chige , Nalendwa , SirChief

Hahah!, Diplomacy Malcom, Diplomacy. The best, effective and professional way of dealing with each other. Sasa mlitaka wafanyeje jamani, wanyoosheane vidole ama...lol

Halafu sijui mmeona vizuri hii message?!, hakusema "WHEN"

Naona watu wameboreka Trump katangaza vita halafu hakuna kinachoendelea. Yaani watu wanaona kama vile anachelewa sijui.
Ingawa sikuafiki alivyosema "Missiles are coming"
I don't think it's Ideal to tell your enemy about what you're going to do..
 
Russia baby
God bless NK
Peace be upon my distant brother mr Assad
Kila la kheri bwana Putin
M arekani ni nchi ambayo sasa hivi inaweza kuvimbiwa hata na Burundi na bado ikaufyata mkia,for the first time we're witnessing the shift/balance of power,leo nakiri rasmi US sio super power tena ,Marekani haikuwa nchi ya kumwambia mtu haangamize silaha zake za nyuklia mara mbili lkn cha ajabu eti leo anaomba mazungumzo na kiduku.
Aliotoa masaa 24/72 kabla ya kuanza kuachia madude syria lkn leo babu kaja na kituko kingine Twitter baada ya kuambiwa atulize ball na Putin.
IMG_20180413_014326_461.jpg
 
Badala ya kumshukuru Mungu hamna vita unashangilia sababu kaufyat...hizi nazo ni aina za akili...unazani wana akili za kitoto kama zako? Wanawaza how many barrels of blood could be from the innocence sasa nduguyetu unashangilia kuufayat...Hapana shaka hata Korea ulishangilia wakati Seoul ingekua majivu saivi...acha ushabiki kijana
 
Shukuru ww mkuu kila mtu na imani yake !
Nijambo la furaha kwa muuwaji U.S. na gaidi kuanza kuelemewa!
Vifo vitokanavyo na vita vingi ama vyote husababishwa na Marekani na washirika wake Saudia Arabia na wengine wengi!
WASWAHILI HUSEMA KIFO CHA NYANI MITI YOTE HUTELEZA !!!
Kwenye ligi ya biashara na China marekani maji yamesha onyesha dalili za kuzidi unga !!
Kwenye vita hivyo hivyo Dunia inakwenda kuwa sehemu salama Baada ya marekani kuanza kungooka meno!!
 
Yani unandika kiudaku na kiuChocheziii..be professional bro..ukweli ni kwamba hawawezi kuvamia km hakuna ushahidi wa hayo madai..ss hiyo "kwisha habari yake ya nini!!??"
 
Shukuru ww mkuu kila mtu na imani yake !
Nijambo la furaha kwa muuwaji U.S. na gaidi kuanza kuelemewa!
Vifo vitokanavyo na vita vingi ama vyote husababishwa na Marekani na washirika wake Saudia Arabia na wengine wengi!
WASWAHILI HUSEMA KIFO CHA NYANI MITI YOTE HUTELEZA !!!
Kwenye ligi ya biashara na China marekani maji yamesha onyesha dalili za kuzidi unga !!
Kwenye vita hivyo hivyo Dunia inakwenda kuwa sehemu salama Baada ya marekani kuanza kungooka meno!!
Wapi amesema hawezi kuishambulia Syria?.Umeelewa hiyo tweet nachomaanisha?..Acha kumjaza maneno.
 
Back
Top Bottom