SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Wameshamuamini mkuu,wewe tizama hata comments zao utaona.Jukwaa la I'nal forum limevamiwa na watoto aisee.Cha kushangaza wapo Watu wengi sana humu ambao watamuamini 100%. Acheni tu hawa ' Wazungu ' watudharau Waafrika hakyanani.
