auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,294
Empty minds at work!
Kumbe bado mtoto mdogo,Rudi kule MMU ndo panapokufaa.US kwa sasa hana ubavu wa kumvamia RuSSIA anamjua vizuri, anauwezo mkubwa vitani
Mzeee kaona mbali.
PIMBI WEWE.
Anything is possible,the problem is when and how to do it.Shida ingine hawa Arab league wengi ni USA Puppets.Can Arab league under the umbrella of OPEC revive petrodollar exchange system and opt for dinar. ..!??
Thinking aloud!
Anamshukiru mungu baada ya mfadhili wa ugaidi kuanza kuufyataBadala ya kumshukuru Mungu hamna vita unashangilia sababu kaufyat...hizi nazo ni aina za akili...unazani wana akili za kitoto kama zako? Wanawaza how many barrels of blood could be from the innocence sasa nduguyetu unashangilia kuufayat...Hapana shaka hata Korea ulishangilia wakati Seoul ingekua majivu saivi...acha ushabiki kijana
Huja gundua adi mda huu huyu mzee ana beep hana salio!!?Wapi amesema hawezi kuishambulia Syria?.Umeelewa hiyo tweet nachomaanisha?..Acha kumjaza maneno.
Uvamiz wa Iraq ushahid uliuona?Yani unandika kiudaku na kiuChocheziii..be professional bro..ukweli ni kwamba hawawezi kuvamia km hakuna ushahidi wa hayo madai..ss hiyo "kwisha habari yake ya nini!!??"
Kumbe mnatokwa povu kwa kuhisi mwisho wa Kanisa unakaribia jiandaeni kisaikolojia mapemaKumbe bado mtoto mdogo,Rudi kule MMU ndo panapokufaa.
Iraq ilivamiwa, je kuna ushahidi wowote wa silaha za maangamizi ulionyeshwa??Yani unandika kiudaku na kiuChocheziii..be professional bro..ukweli ni kwamba hawawezi kuvamia km hakuna ushahidi wa hayo madai..ss hiyo "kwisha habari yake ya nini!!??"
Alivyotweet kuishambulia Russia ulimpa mawaidha gani,nikishangilia au nisipoweka shangalia haiwezi saidia chochoteBadala ya kumshukuru Mungu hamna vita unashangilia sababu kaufyat...hizi nazo ni aina za akili...unazani wana akili za kitoto kama zako? Wanawaza how many barrels of blood could be from the innocence sasa nduguyetu unashangilia kuufayat...Hapana shaka hata Korea ulishangilia wakati Seoul ingekua majivu saivi...acha ushabiki kijana
waliwahi kuvamia kwingineko pasipo huo ushahidi mkuu.Yani unandika kiudaku na kiuChocheziii..be professional bro..ukweli ni kwamba hawawezi kuvamia km hakuna ushahidi wa hayo madai..ss hiyo "kwisha habari yake ya nini!!??"
Iraq mbona ushahidi ulikuwa wazi kuwa Saddam hakuwa na siraha za maangamizi na bado walivamia?Yani unandika kiudaku na kiuChocheziii..be professional bro..ukweli ni kwamba hawawezi kuvamia km hakuna ushahidi wa hayo madai..ss hiyo "kwisha habari yake ya nini!!??"
Russia baby
God bless NK
Peace be upon my distant brother mr Assad
Kila la kheri bwana Putin
M arekani ni nchi ambayo sasa hivi inaweza kuvimbiwa hata na Burundi na bado ikaufyata mkia,for the first time we're witnessing the shift/balance of power,leo nakiri rasmi US sio super power tena ,Marekani haikuwa nchi ya kumwambia mtu haangamize silaha zake za nyuklia mara mbili lkn cha ajabu eti leo anaomba mazungumzo na kiduku.
Aliotoa masaa 24/72 kabla ya kuanza kuachia madude syria lkn leo babu kaja na kituko kingine Twitter baada ya kuambiwa atulize ball na Putin.
View attachment 742856
Mimi naongelea maana ya ile tweet ya Trump,Je maana yake ndio hiyo mleta mada aliyoandika?.Kama Huwezi kujibu kaa kimya.Huja gundua adi mda huu huyu mzee ana beep hana salio!!?
Mkuu watanzania wanameathiriwa sana na mambo ya umbea.Yaani kila kitu wanakichukulia kimbea mbea tu.Mbona katika hiyo ' Twitter ' yake Rais Trump sioni ni wapi amesema au ameonyesha ' Kuufyata ' kama unavyojitahidi kuhangaika kutuaminisha?
Mkuu watanzania wanameathiriwa sana na mambo ya umbea.Yaani kila kitu wanakichukulia kimbea mbea tu.