Trump calls London Mayor Sadiq Khan ‘a stone cold loser’

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,410

1117192
 
View attachment 1117192
Khan kwa kweli ni biggest loser. Anashindana na Trump wakati mwenzake kapewa heshima zote na Qeen hadi Obama anashangaa! Kinachoendelea kwenye ziara ya Trump UK ni kile Stormfront wanaita "White Pride World Wide"

Haishangazi Trump kamuita Meghan "nasty" na wazungu wamechukulia poa tu
 
Sijui Harry atakua anajisikiaje
 
Sadik toka aanze kuwatetea mashoga amekuwa mjinga mi nimempuza pia km Trump
Itakuwa anamaanisha kuwa mayor sadiq khan hamuwezi Stone cold(steve Austin) wa marekani, wakikutana na bwana austin atapoteza ndio maana ya kumwambia mayor saiq khan kuwa " a stone cold loser"

Noti! Komenti hii ni kwa hisani ya chai ya asubuh kwetu tuliona mwezi jana.
 
Khan kwa kweli ni biggest loser. Anashindana na Trump wakati mwenzake kapewa heshima zote na Qeen hadi Obama anashangaa! Kinachoendelea kwenye ziara ya Trump UK ni kile Stormfront wanaita "White Pride World Wide"

Haishangazi Trump kamuita Meghan "nasty" na wazungu wamechukulia poa tu
 
Hii ndoa nina mashaka kudumu kwake, royal family hawa mpendi Meghan.
... nili-comment humu kipindi kile cha michakato ya kuoana kwao; sikueleweka zaidi ya kuambulia matusi. Ndio hayo yanayotokea leo.
 
Back
Top Bottom