Ningependa kuiona sura ya yule mjuaji alivyokuwa ametulizwa nae akatulia kwenye hilo roli.
Lkn wkt mwengine wale CIA wahuni sana
Ikiwa unapuuza Ushauri wa mkubwa wao
Wanayo njia ipo ndani ya uwezo wao unaweza kulazwa chooni ukaambiwa kuna tishio🫎‼️
mana ilo lipo ndani ya uwezo wao kisheria
wakijisikia kukupandisha presha ujipange🫎👈
Ile Vita ya Iranian Majasusi wote wameipinga mpaka Mossad wenyewe walichoma taarifa zao.
Vile Vita vilisukumwa na utashi wa Netanyahu👈
lkn maonyo ya kijasusi yakapuuzwa leo wanasiasa wanatapatapa kufungua mlango wa Hormuz
Nikama Trump na Netanyahu wameingia kwenye mtego mzito kuchomoka hawawezi!!
Iranian anataka kuondoshwa vikwazo vyote na fidia ya $ Bil 300
Uko Israel yumkin na Netanyahu kashakutana na michezo kama iyo lkn kule wanabana taarifa!!
Kwasasa wanawatazana kama mapoyoyo kiakili🫎🫎✍️