Trump atajuta ku mess with FBI

Trump atajuta ku mess with FBI

Vitengo vyote vya ujasusi ndani ya nchi vipo chini ya raisi na order zote wanapokea kwa raisi
 
Yaani FBI impelekesha rais, hapana aisee

Ni kitu kinacho shangaza sana!! Yaani commander in Chief hana mamlaka ya ku-hire na ku-fire ma Director anao wateua yeye, DoD na baadhi ya ma General wa Jeshi la Marekani wanafanya watapendalo bila ya kuomba kibari kutoka kwa Trump, si ajabu hata ndege ya Syria imeshambuliwa kwa matakwa ya Wakuu wa jeshi la Marekani, agenda zao za siri za kutaka kumuondoa madarakani Asaad bado hazijafa??

Yaani Rais anageuzwa a toothless Bulldog ndani ya Taifa lake halafu wapiga kura wake walio muunga mkono wanaona hilo ni sahihi kweli - Wamarekani ni watu wa ajabu sana!
 
Unajua alimfuta kazi eti kwa sababu alikuwa anamchunguza somebody Flynn juu ya sakata la Russia kuingilia uchaguzi wa US. Kama unagfuatilia hivi sasa AG wa US na former FBI Director wameitwa kwenye Intelligence Committee ya Senate kujieleza. Wenzetu system yao ipo vizuri. Hapa kwetu ni kamati gani ya Bunge inaweza kumwita Mkurugenzi wa TISS?

Hipo vizuri kivipi wakati Dunia inajua kinacho endelea ni vurugu tu na madai ya kitoto, wanataka ku-hijack matakwa ya wapiga kura walio mchangua Rais kihalali - watu wachache kwenye kundi la Establishment ambao hawampendi Trump ndiyo wahusika wakuu wa kumanufacture Uongo wa kumzulia Trump, jeuri ya pesa walizo nazo ndizo zinawavimbisha kichwa cha kutaka kulazimisha mambo.
 
Hizi taasisi kama FBI na CIA zinapenda mno kuwa huru
na kuheshimiwa
Sasa huyu Trump kaingia mkenge mkubwa
na bado....

Why the FBI might wage "war" on Trump — and how they would actually do it

There is a big difference between winning A Battle and winning A War.
And probably the biggest truth you turn away from is that :Some agents in the Bureau bolstered the Ascension of Trump.
Or maybe you still believe that the Russians are the Ones who leaked the D.N.C mails to Wiki Leaks.
 
Kumbuka Trump alitokea kuwa mfanyabiashara mkubwa sana na wanaojua biashara zina umafia wa kila aina lakini alifanikiwa kwa biashara hivyo Trump anajua in and out hata kwa nafasi ya urais wa Marekani, hivi wangapi walitarajia ataibuka mshindi wa urais? amefikaje hapo? huyo amejipanga kwelikweli.
 
kinachowauma wanausalama wa marekan ni mapenzi ya trump kwa russia wanafahamu fika kuwa putin ni very intelligent lazima atatumia uwepo wa mtu km trump mwenye mapenzi na russia kuidhoofisha marekani........trump atanyooshwa taratibu mpk atakuwa mpole sema tu GOP wanaenda taratibu coz rais ametoka chama chao,hiiskendo ya urusi haitomwacha tr8ump salama walioianzisha wanajua nn wanachokifanya na mbhaya zaid wana support ya FBI+CIA na target yao kubwa ni kumuangusha uchaguz ujao
 
This is too funny!

Nimebofya hiyo link ikanipeleka Vox.com.

Vox ni left-leaning outlet. Ni sehemu ya 'destroy Trump media' ambayo sasa inaongozwa na CNN.

Nimeisoma na hiyo makala. Ni opinion piece tu tena ambayo iko speculative.

Kumbe bado watu wana predict doom kwa Trump.

Watu walisema rais wa Marekani huwa hachaguliwi na kura za wapiga kura na kwamba eti kuna kikundi cha watu wachache ambao ndo huamua nani awe rais.

Na 2016 kikundi hicho kilisemwa kwamba kilishaamua Hilary awe rais. Uongo. Uzushi. Trump akashinda.

Watu walisema Trump hawezi kushindana na Clinton machine pamoja na Obama coalition. Well, election day akawatoa kamasi.

Watu walisema eti hakuna Republican anayeweza kushinda urais bila minority votes. Trump alipata kura chache za minorities na akashinda urais.

Watu walisema Trump hawezi kushinda kwa sababu hakushinda debates...well...heheheeee.

Hata pesa za kampeni hakuwa nazo nyingi kama Hilary....lakini bado akashinda.

Hapo hata sijazungumzia makandokando yake mengine kama ile tape ya 'grab them by the pussy'.....

Kwa hiyo hao Vox, CNN, MSNBC, Politico, NY Times, na wengineo hawana jipya.

Bado wanaimba nyimbo zilezile tu ambazo watu washazichoka sasa.
 
Back
Top Bottom