Trump atajuta ku mess with FBI

Trump atajuta ku mess with FBI

Huu mchezo ni mgumu kwa trump hawezi badirisha gia angani ama nchi kavu....sifa na kiburi cha madaraka ndo vitakavyo mponza
 
kama alivyofanya Sizonje hapa kwetu, tofauti ni kwamba "fbi" yetu ni soft kama boflo!


Unajua alimfuta kazi eti kwa sababu alikuwa anamchunguza somebody Flynn juu ya sakata la Russia kuingilia uchaguzi wa US. Kama unagfuatilia hivi sasa AG wa US na former FBI Director wameitwa kwenye Intelligence Committee ya Senate kujieleza. Wenzetu system yao ipo vizuri. Hapa kwetu ni kamati gani ya Bunge inaweza kumwita Mkurugenzi wa TISS?
 
Back
Top Bottom