Trump apewe nuclear codes

Mkuu the bold,habari...

Pole kwa changamoto ya kazi yako kutolewa bila idhinini yako .nadhani kuna mtu ameuliza swala la kujiunga kwenye watsapp group .Changamoto ni watu hawapendi kutoa number zao simu na unajua mambo ya cyber act..
Sijui utakuwa na njia gan nzuri ya kufikisha makala zako.
Ikiwezekana ingia ubia na jf watuwekee forum yako ambayo watu watalipia na wanajua jf itawalinda na Siri zao tofauti na hali ilivyo.
Sababu pia km individual huwezi ku-control km ivyo watu kuchukua makala zako.ila kwa jf inaweza wekwa safe na kudisable ile optn ya copy content kwenye web.

Unafanya kaz nzuri saaana tena saana na nakupongeza
 
Dah basi pole aisee jamaa naona ana watu wengi anao watag labda anapitiwa ila sio kesi mbona kuna online libraries kibao na Novel nyingi tu za mambo haya unaweza soma
Walio anzisha JamiiForums ni positive great thinkers,

Maana walikuwa na ndoto ya kuwaunganisha watu wote bila kujali utofauti wao kwa lengo la kujifunza na kushea habari.......Hawatofautiani sana na wale African Elites.
Si lazima tukubaliane wote kwenye mada zote zitakazoletwa hapa, lakini kikubwa ni kwamba kupitia JF watu wote wanaopingana ama kukubaliana jambo wameunganishwa.

Sasa leo mtu anakuja kuleta mgawanyo wa wajumbe kwa vitu vidogo kama vile vistori vya kutafsiri kutoka google.....Eti kuna kakikundi ka wajumbe ndo watakaohusika tu.

Kuna watu kama wangekuwa wamiliki/waanzilishi wa JF, kungekuwa na kiingilio na ada za kila mwezi kwa members wote. Uzuri ni kwamba akili siyo makalio kila mtu awe nazo, zinaangukia penye utu.
Hebu kuwa open minded halafu uone kama hii mada ina nguvu ya kumtoa mtu povu kama siyo gubu na kuwa akili za kiubinafsi?
 
Hey Mr. Hater, no one invited YOU..

Sceptic!
Sasa huo u hater uko wapi ? Yaani kupishana mawazo imekuwa tabu ? Kwa hiyo kuandika hicho kingereza umeona unanikomoa sio ? Hivi sio mimi niliyekuwa nafurahia mahusiano yenu na kuwatikia kila la kheri kadri niwakutapo ? Yaani ni hate nini kwa mfano ,ni kipi cha ajabu ulicho kuja nacho kwenye hizo makala ? Au unafikiria hazipatikani kwingine kwamba kila mtu anategemea The bold wa jf ndio alete ?

Kiburi hakijengi jitahidi kuwa muungwana ,ni hayo tu

Nani anataka kuwa invited kwenye ma group ya Whatsapp ? Im too old for that crap Sir
 
Kwahiyo umetumia akili zako zote Mungu alizokujalia na umeconclude kitu anachofanya huyu bwana ni sahihi?? So sad..
Kwani wewe unacho kifanya ni sahihi ? Mfano ile operation ya neptune spear ulivyo ileta humu ,uliandika wewe au uli copy kazi za wengine ?

Kiburi hakita kujenga jifunze kupokea changamoto sawa na sifa unazo pewa

Mimi akili sina unazo wewe tu
 
Kama ni kitu rahisi tu kwamba ati The Bold "anatafsiri tu" ni vyema mkanfanya hivyo na nyinyi sio kukopi alichoandika The Bold..

Eti "anatafsiri tu" hahahahahahah binadamu bhana..

Asante Mzee msekwa kwa huu msemo; "kuna watu wana wivu wa kike"
ok,nilikuwa naipita thread yako ya kipepeo,leo nikaona niingie nikacheki first post pale,kumbe umegeuza njia ya kujipatia kipato,
sio mbaya nawe wajitafutia,

anyway mimi binafsi sisomagi story zako kwani kwangu hizo infor unazoweka sio kitu kigeni na siwezi poteza mda kurudia kusoma kitu ambacho nina taarifa nacho.
Time is money,
ila hongera kwa kubuni njia ya kujipatia kipato mkuu
 
Walio anzisha JamiiForums ni positive great thinkers,

Maana walikuwa na ndoto ya kuwaunganisha watu wote bila kujali utofauti wao kwa lengo la kujifunza na kushea habari.......Hawatofautiani sana na wale African Elites.
Si lazima tukubaliane wote kwenye mada zote zitakazoletwa hapa, lakini kikubwa ni kwamba kupitia JF watu wote wanaopingana ama kukubaliana jambo wameunganishwa.

Sasa leo mtu anakuja kuleta mgawanyo wa wajumbe kwa vitu vidogo kama vile vistori vya kutafsiri kutoka google.....Eti kuna kakikundi ka wajumbe ndo watakaohusika tu.

Kuna watu kama wangekuwa wamiliki/waanzilishi wa JF, kungekuwa na kiingilio na ada za kila mwezi kwa members wote. Uzuri ni kwamba akili siyo makalio kila mtu awe nazo, zinaangukia penye utu.
Hebu kuwa open minded halafu uone kama hii mada ina nguvu ya kumtoa mtu povu kama siyo gubu na kuwa akili za kiubinafsi?
Nashangaa huyu jamaa ,utafikria Jf ya kwake ,muone Melo alivyo humble alafu mtu unakuja na vi story watu waki ku challenge unaishia kudharau kisa umesifiwa sana kichwa kimekuwa kikubwa unaanza kuongozwa na mihemko badala ya busara
 
Such a shame. Tumezowea ku forward forward tu vitu. Sijui ili tuonekane tunajua.

Huyu kaiba article ya mwenzie na hapo ukimuuliza in depth hana maelezo yeyote.

Small minds are such a pain in the ass.

Nawasamehe bure tu.. Hawa watu wanakwaza sana aisee..

Wao na wenzao wote wanaowatetea nawasamehe bure!! Ila uhuni haujawahi kumsaidia mtu, ukiendekeza uhuni utapata rewards za kihuni..

Uzuri mimi ni mtu imara sana! Wahuni wachache kama huyu na wenzake hawawezi kuniyumbisha..

Ndihbalemaaaaa (tutawashinda)
 
Nashangaa huyu jamaa ,utafikria Jf ya kwake ,muone Melo alivyo humble alafu mtu unakuja na vi story watu waki ku challenge unaishia kudharau kisa umesifiwa sana kichwa kimekuwa kikubwa unaanza kuongozwa na mihemko badala ya busara
Hahahaaa ndo ivo mkuu, watu wanatengeneza interests hata sehemu isiyokuwa na umuhimu, eti wanatumia fursa:D:D:D:D:D:D:D.......Hizo story za google awatafsirie hao hao aliowateka na wasio na uwezo wa kuzisoma kutoka vyanzo vingine.

Halafu bila aibu kabisa anatokwa povu,.........huyu jamaa kajiondolea credibility aliyokuwa nayo.
 
Nawasamehe bure tu.. Hawa watu wanakwaza sana aisee..

Wao na wenzao wote wanaowatetea nawasamehe bure!! Ila uhuni haujawahi kumsaidia mtu, ukiendekeza uhuni utapata rewards za kihuni..

Uzuri mimi ni mtu imara sana! Wahuni wachache kama huyu na wenzake hawawezi kuniyumbisha..

Ndihbalemaaaaa (tutawashinda)
Uandishi ni arts Mkuu

Japo mtu ka copy ambayo nawe ume copy toka reliable source , si vizuri kuwatukana na kuona wenzako ni [ b]ndezi[/b] , jitahidi kuheshimu mawazo ya watu hata kama wamekuchallenge

Huwezi fahamu uwezo wa mtu JF kwa comments zake wengine wako Ku comments pumba lakini majukumu yao katika taifa hili ni mazito na wanajua kila kitu ukiandikacho hata kabla ya mapinduzi ya mitandao Tanzania

Hivyo ,kubali challenge ,

Nakubali unaandika vizuri lakini kubali unachotafsiri kila mtu aliyeenda shule anaweza

Ila uandishi ni Art na wewe hapo umemudu
 
Hahahaaa ndo ivo mkuu, watu wanatengeneza interests hata sehemu isiyokuwa na umuhimu, eti wanatumia fursa:D:D:D:D:D:D:D.......Hizo story za google awatafsirie hao hao aliowateka na wasio na uwezo wa kuzisoma kutoka vyanzo vingine.

Halafu bila aibu kabisa anatokwa povu,.........huyu jamaa kajiondolea credibility aliyokuwa nayo.
Dah huyu jamaa nilikuwa nimpa nafasi kubwa sana ya heshima ,unapewa Challenge kidogo unakuwa kama mwanamke bwana ,feelings za nini au anaye tumia hii ID yake ni Nifah ?
 
ok,nilikuwa naipita thread yako ya kipepeo,leo nikaona niingie nikacheki first post pale,kumbe umegeuza njia ya kujipatia kipato,
sio mbaya nawe wajitafutia,

anyway mimi binafsi sisomagi story zako kwani kwangu hizo infor unazoweka sio kitu kigeni na siwezi poteza mda kurudia kusoma kitu ambacho nina taarifa nacho.
Time is money,
ila hongera kwa kubuni njia ya kujipatia kipato mkuu

Kaka Elungata,
In Intellectual Property Law we don't protect the idea itself.
But the Expression of idea and Intellectual Novelty.
Mkuu The bold anachokifanya hapa ni haki yake kabisa kisheria.
THE COPYRIGHTS AND NEIGHBOURING RIGHTS ACT OF 2006 inayasema haya yote.

Hizi ni tofauti ndogo na wala tusilumbane mkuu wangu,
Japo Mkuu The Bold naye amelichukulia hili swala kwa uzito sana kiasi kwamba anahisi kila mtu ni adui.
Mdogo wangu kichakaa man njoo uombe msamaha kwa The Bold haya mambo yaishe na tuanze Juma na Mungu.
 
The Bold naona ni busara kuvunga tu kama mna uwanja mwingine nje JF mnajadili ni vyema ila hizi mambo sijui za kuchukuliwa makala zako nadhani sio poa kwa maana nina uhakika hata wewe pia yapo mengi una copy sehemu au unayasoma ukaongeza/kupunguza mambo alafu unabandika mfano hili bandiko usituaminishe hata wewe ni kazi ya mikono ya 100%.
Asante mleta bandiko kwa kutuletea hii makitu.
 
Mademu wa jf washampa kichwa huyu ndio maana unaona dharau kibao ,si unaona hata waliomtag humu wengi wao ni wanawake waliopo kwenye hilo group lake
Ndio yale yale unayosema kila siku........kuwa kuna baadhi ya watu wapo humu kujitafutia credit za KE.
Yaani jamaa karespond emotionally mno!

Nadhani manzi yake ndo anayetumia hii ID labda akirudi baadae atakuja kufanya masahihisho.
 
Back
Top Bottom