Trump apewe nuclear codes

Na Urusi ana Dead Hand, ambayo ilikuwa enzi za USSR ingawa wachunguzi wanasema bado iko active, kwamba hata watu wote wakifa makombola yanaweza jifyatua yenyewe kwa kuhisi tu mtikisiko,
kunakuwa na makombora chini ya ardhi,sasa moscow ikipigwa na watu wakafa ikiwemo Rais,basi kuna mitambo inasense radioactive kisha inafyatua makombora automaticaly
 
Hebu kuwa na aibu hata kidogo..

Huo mchezo unaoufanya wewe/mwenzako anayekuibia makala kutoka kwenye group la "Simulizi Za The Bold" alafi unakuja kuziweka huku bila aibu kujifanya za kwako siku zenu zinahesabika.. I'm tracking you down, soon mnakuwa removed from the group.. Ndani ya siku mbili tu nawatumbua..

Shame.!!
Mkuu niadd huko
 
kama kwamba the bold ana monopoly na hizo taarifa,si aweke copyright basi,
kwanza hizo ni public knowledge huyo bold anachofanya ni kuzitafuta na kuzitafsiri tu,au nae yuko pentagon wanamleteaga habari?

Kama ni kitu rahisi tu kwamba ati The Bold "anatafsiri tu" ni vyema mkanfanya hivyo na nyinyi sio kukopi alichoandika The Bold..

Eti "anatafsiri tu" hahahahahahah binadamu bhana..

Asante Mzee msekwa kwa huu msemo; "kuna watu wana wivu wa kike"
 
Kwahiyo umetumia akili zako zote Mungu alizokujalia na umeconclude kitu anachofanya huyu bwana ni sahihi?? So sad..
Mkuu the bold, msamehe bure yule ntu nahc hajatambua nn maana ya plagiarism.......
 
Back
Top Bottom