technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,722
- 58,933
IPO sahihi hii sizani kama ingekubalika bongoIngea Bongo hii.....kuna watu wangepigwa risasi, halafu ndo liwe Sanamu la Mgombea wa CCM!!
We jamaa ni shidaTrump ana kibamia, akina mama wa jf mmeona kibamia hicho kama cha wala chips pale kati?
But wamarekani wapo na democrasia kweli ingekuwa bongo daaahHapo hapati aibu wanamuongezea popularity.
Hivi ikitengenezwa sanamu ya Hillary Clinton akiwa uchi si dunia nzima mtapiga kelele kuwa amenyanyaswa kijinsia?
Haaaah wacha tufurah kidogoSidhani kwa maadili yetu hii ni sawa....
Siyo kitu cha kufurahisha hata...
Tuna ubinadamu...
The world first class selfies
Ndio nini sijaonaThe world first class selfies
Ndio nini sijaona
Haaaah hizi ni noma aise
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaaah hizi ni noma aise
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndio maana trump alimuita clinton ni shetani.
mshana jr kweli inawezekana kwa mtu ambaye unaakili timamu uanze kuhangaika kuchonga masanamu ya uchi na kuyaweka nchi nzima.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]