Trump anaonewa bure

Trump anaonewa bure

Israel atakae ilaani amelaaniwa yeye atakae ibariki amebarikiwa..nachagua baraka ,hata kma hupendi ndio chosen generation...
hako kamungu kalikoichagua Israeli kabaguzi hatari.... Mungu ninayemjua mimi sio mbaguzi
 
Fuata mdundo wa ala za muziki!! acha kupaparika.
Sadam imebaki story, siyo history.

Na waarabu watakuja kulima vibarua vya mihogo soon.
Uvumbuzi wa kitechnolojia unalazimisha kupunguza dependence ya mafuta.
Kwa taarifa yako ifikapo 2035 hakuna kiwanda cha motokaa ulaya kitaruhusiwa kutengeneza motokaa inayotumia mafuta.

Lazima watoke mashimoni dizaini ya Sadam huseni.
Ulivyojibu ni zaidi ya zezete, kapuku wewe ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui, chutama upewe uhalisi wa mambo acha upunguani wewe, nimeshakupa homework ya kufanya, ifanye ndio urudi hapa, unajiaibisha dogo.
 
Fuata mdundo wa ala za muziki!! acha kupaparika.
Sadam imebaki story, siyo history.

Na waarabu watakuja kulima vibarua vya mihogo soon.
Uvumbuzi wa kitechnolojia unalazimisha kupunguza dependence ya mafuta.
Kwa taarifa yako ifikapo 2035 hakuna kiwanda cha motokaa ulaya kitaruhusiwa kutengeneza motokaa inayotumia mafuta.

Lazima watoke mashimoni dizaini ya Sadam huseni.
Endelea kukesha ukiwaombea waarabu wawe masikini mkuu
 
hako kamungu kalikoichagua Israeli kabaguzi hatari.... Mungu ninayemjua mimi sio mbaguzi
Ni Mungu wa Bible na imeandikwa hivyo. kwahyo embu jiheshimu afu acha kuongea kama mjinga! Kauli mbovu sio ujanja aisee....luckily uko mbali i would punch you on your throat moron
 
Ni Mungu wa Bible na imeandikwa hivyo. kwahyo embu jiheshimu afu acha kuongea kama mjinga! Kauli mbovu sio ujanja aisee....luckily uko mbali i would punch you on your throat moron
acha hasira mkuu, nyie si huwa mnasema mungu ana upendo wote? sasa iweje awe mbaguzi? iweje awachague waisraeli peke yao?
mimi Mungu ninayemuabudu hana ubaguz wa hivyo.

Hako kamungu kenu kabaguz bhana
 
acha hasira mkuu, nyie si huwa mnasema mungu ana upendo wote? sasa iweje awe mbaguzi? iweje awachague waisraeli peke yao?
mimi Mungu ninayemuabudu hana ubaguz wa hivyo.

Hako kamungu kenu kabaguz bhana
Tatizo hujui kwamba hujui! Ilibidi uulize.
Mungu kuanza na wana wa israel sio manaake wengine hawapendi! Umetoa wapi wazo hilo???? Naona hata uvivu kukuelimisha hadi ukaelewa yani.....
 
Fuata mdundo wa ala za muziki!! acha kupaparika.
Sadam imebaki story, siyo history.

Na waarabu watakuja kulima vibarua vya mihogo soon.
Uvumbuzi wa kitechnolojia unalazimisha kupunguza dependence ya mafuta.
Kwa taarifa yako ifikapo 2035 hakuna kiwanda cha motokaa ulaya kitaruhusiwa kutengeneza motokaa inayotumia mafuta.

Lazima watoke mashimoni dizaini ya Sadam huseni.
Insane in the membrane!!
 
m

nafiki anataka kusema nchi za kiislam tu ndio waliwabagua waisrael wakati nchi kibao hawataki hata kuwasikia uganda,tz,ujeruman,hata USA wenyewe ni viongozi tu ndio wanawabeba ila raia hawawataki hata kidogo,wao wakishafika nchi za watu wanatakaga mamlaka za juu na muhimu za nchi husika zishikwe na wao

Trump kwnye kauli zake alisema atafuta ruzuku anazowapa wa Israel kwakua wao wenyewe wanashida raia wake wa amerika
 
ila dunia inapiga kelele na wanachokifanya waisrael kwa wapelestina...????....hayo mataifa yalichokifanya kwa israel ni sawa na kuweka kiroba cha chumvi baharini utegemee mabadiriko ya radha..... kwa mvurugo anaoufanya israel mashariki ya kati...kwa maslahi ya us.....
tuache unafki.....
 
Mi naona vizuri sana tena Trump apige bun kwa nchi za kiafrika kwenda marekani ndo tutie akili viongozi wetu wajipange kuinua uchumi na kutoa fursa ndani ya nchi,kwanini tug'ag'ane kukimbilia Marekani?
 
Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .
Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi Arabia
Sudan
Syria
United Arab Emirates
Yemen.
Nchi hizo zimezuia hata mtu yeyote aliyetembelea Israel asiruhusiwe kuingia kwao.
Dunia ipo kimya wala hakuna anayeandamana kuwatetea Waisrael, Leo Trump ametangaza zuio la muda mfupi (siku 90) kwa raia wa nchi saba wasiingie Marekani dunia nzima inatokwa povu.
Sasa ulitaka nani aandamane kwa ajili yao, waandamane wenyewe kupinga iko kitu, nahisi hata wanao andamana sasa hivi niwahusika,
 
Mi naona vizuri sana tena Trump apige bun kwa nchi za kiafrika kwenda marekani ndo tutie akili viongozi wetu wajipange kuinua uchumi na kutoa fursa ndani ya nchi,kwanini tug'ag'ane kukimbilia Marekani?
ubavu huo hana miaka yake yote ya utawala.....!!
anaihitaji africa kuliko africa inavyomuhitaji yeye....... ....
 
Israel atakae ilaani amelaaniwa yeye atakae ibariki amebarikiwa..nachagua baraka ,hata kma hupendi ndio chosen generation...
Mungu wenu wa ajabu ,yaani anachagua mashoga na wauaji kuwa ndio chosen generation halafu hapo hapo mnatuambia wale wa sodoma na gomora walichomwa kwa kosa sawa ,itakuwa Mungu wenu kigeugeu.
 
acha hasira mkuu, nyie si huwa mnasema mungu ana upendo wote? sasa iweje awe mbaguzi? iweje awachague waisraeli peke yao?
mimi Mungu ninayemuabudu hana ubaguz wa hivyo.

Hako kamungu kenu kabaguz bhana
Wacha tuangalie Mungu yupi hasiye na upendo na mbaguzi hasa! Tusome hii At-tawbah 9:123. "Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu."
Allah anawapendelea walio amini na anawaagiza waislamu wawapige makafiri walio karibu. Hiyo ina maana kubagua na kuwapiga pia. Allah hataki kafiri awe karibu na walio amini.(waislamu) Je huyu Allah si mbaguzi wa kupindukia?

Lakini leo waislamu hao hao wanavamia kuishi nchi za wakristo na wanakaribishwa. Nchi za kiislamu ambazo tajiri kama Dubai, Saudi Arabia na Kuwait hawataki kusaidia wala kupokea wakimbi wa kiislamu wenzao wakati inawaambia jinsi ya kuwa treat wahamiaji(wakimbizi)

Tusome Al-Hashr 59:9."Na walio na maskani zao na Imani yao kabla yao, wanawapenda walio hamia kwao, wala hawaoni choyo katika vifua vyao kwa walivyo pewa (Wahajiri), bali wanawapendelea kuliko nafsi zao, ingawa wao wenyewe ni wahitaji. Na mwenye kuepushwa uchoyo wa nafsi yake, basi hao ndio wenye kufanikiwa."
Qur'an inafundisha waislamu wawapige walio hamia kwao, lakini kinyume chake waislamu hasa wa Saudi Arabia, Kuwait na Dubai hawataki hati kuwasikia wakimbizi!
Je huo ndiyo uislamu wanaotutangazia kila kukicha mpaka saa 11 za usiku kuwa ni dini ya upendo?

Na tukichungulia katika Al-baqara 2:43
"Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao inama." Hapo tunaona jinsi gani nchi za waislamu zinakwenda kinyume kwa kutosaidi na kutoinama pamoja na wenzao wenye kutaka kuifadhiwa kutokana na vita ingawa wana imani moja!

Mungu wa wakristo anafundisha kumpenda adui yako ndiyo maana waislamu wamejazana nchi za wakristo! Lakini Allah anafundisha kumchukia adui yako na kuwabagua ndiyo maana wakristo hawaendi nchi za waislamu na wachache waliokiwepo wanauwawa au kukimbia nchi.
 
Kwa vile fulani kibaka basi na mimi nikiwa kibaka haina shida.
Au una maana nyingine mleta mada

Mfano wako haulingani na uhalisia wa tukio. Kibaka akiiba watu hulalamika. Nani aliandamana kupinga kubaguliwa kwa Israel?
Israel ilizifanyia nini kibaya hiyo nchi hadi ziibague?

Trump anaposimamisha muingiliano na wa America na Magaidi kwa miezi mitatu ambayo ninadhani wanakakatia kanuni za muda mrefu, anakuwa na kosa gani? Nani asiyefahamu matukio ya kigaidi katika America? Nani asiyesikia vitisho vya magaidi na majigambo ya hadhara dhidi ya America? Trump kuwalinda watu wake amekuwa kibaka? Ila wale mashetani waliobagua Israel kwa misingi ya unyama na chuki wanahesabiwa kawaida?

Tafadhali bwana we. Mfano wako uko irrelevant kabisa.
 
Back
Top Bottom