Trump anaonewa bure

john agrey

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
1,280
2,079
Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .
Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi Arabia
Sudan
Syria
United Arab Emirates
Yemen.
Nchi hizo zimezuia hata mtu yeyote aliyetembelea Israel asiruhusiwe kuingia kwao.
Dunia ipo kimya wala hakuna anayeandamana kuwatetea Waisrael, Leo Trump ametangaza zuio la muda mfupi (siku 90) kwa raia wa nchi saba wasiingie Marekani dunia nzima inatokwa povu.
 
Sasa mwarabu wa dubai kafukuza wamarekani wote kuanzia jana
5dabeb46c4b463f3d9eb1ff34feb1f60.jpg
 
Kwa vile fulani kibaka basi na mimi nikiwa kibaka haina shida.
Au una maana nyingine mleta mada
Usitumie kanuni hiyo.

Kuna wakati 1+1 jibu huwa 2

Lakini huja wakati 1+1 jibu linakuwa 10

Wala usimdharau atakayejibu 1= 1+1
 
Sasa mwarabu wa dubai kafukuza wamarekani wote kuanzia jana
5dabeb46c4b463f3d9eb1ff34feb1f60.jpg
Hawa watagombea zamu za kuratibu hija, Saudia ipo poa kwa ulinzi madhubuti wa USA.

Wanaingia kichwa kichwa huku wanaona.

Iraq wanachinjana kama kuku na ni waislamu watupu!!!

Waarabu wameingia mtegoni kiulainiiii
 
Kuwatetea wana wa Israel ni sawa na kumtetea sheitwannn
Usiudharau mtihani maana utakuwa umemdharau aliyekutungia, usifanye hivyo ukatarajia kufaulu huo mtihani.

Shetani ni mtihani wetu tulioupewa na MUNGU.
 
Watu wanaochinjana na kujilipua wenyewe unafikiri wana akili timamu hao?... Hivi kweli.unakuwa brainwashed kuwa ukijilipua unaenda kupewa bikira 72 na wewe bila kujiongeza unaenda kujitoa muhanga?

Acha tu trump awapige ban mpaka watakapojielewa.

Na shekhe Mohamed dubai kawa piga ban wamerekani na walivyokuwa wanajichanua
 
Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .

Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi Arabia
Sudan
Syria
United Arab Emirates
Yemen.

Nchi hizo zimezuia hata mtu yeyote aliyetembelea Israel asiruhusiwe kuingia kwao.
Dunia ipo kimya wala hakuna anayeandamana kuwatetea Waisrael, Leo Trump ametangaza zuio la muda mfupi (siku 90) kwa raia wa nchi saba wasiingie Marekani dunia nzima inatokwa povu. Hakika ni unafiki sana.
 
Israel atakae ilaani amelaaniwa yeye atakae ibariki amebarikiwa..nachagua baraka ,hata kma hupendi ndio chosen generation...
Chosen generation kutoka kwa nani. Wacheni ubabaishaji Mungu achague kizazi cha mashoga na wasagaji?
 
Back
Top Bottom