Trump anaonewa bure

Trump anaonewa bure

kwani matendo ya waisrael(mashoga) hamuyajui?
Kama ni hivyo mbona watu wa hizo nchi na wengine wanakasirishwa na zuio la Trump wakati Marekani chini ya Obama imeidhinisha ndoa za mashoga? Nilitegemea nchi za kiarabu kufurahia na kuunga trump mkono ila inaonyesha wanahamu ya kuingia marekani! Unafiki mtupu kwenye hii dunia. Bush kavamia Iraq nimemlaumu sana, Obama kavamia Libya tumempongeza. Unafiki mkubwa huu
 
Sasa mwarabu wa dubai kafukuza wamarekani wote kuanzia jana
5dabeb46c4b463f3d9eb1ff34feb1f60.jpg
Safi sana inabidi na wengine hasa hao walizuiwa kuingia USA na wao kuwafukuza wamarekani wote na kuvunja uhusiano wa kidipolomasia na USA.
 
yeyote anaye watetea wa Israel apimwe akili umoja wa mataifa wenyewe unawakataa labda kama si mpenda haki
 
punguza unafiki mbona hapa bongo pia walipigwa ban,na uganda pia mbona hukumuuliza Mwalimu kwa nini amewakataa waisrael nchini?
 
m
Ata Nyerere aligunga balozi ya Israel hapa Tz
nafiki anataka kusema nchi za kiislam tu ndio waliwabagua waisrael wakati nchi kibao hawataki hata kuwasikia uganda,tz,ujeruman,hata USA wenyewe ni viongozi tu ndio wanawabeba ila raia hawawataki hata kidogo,wao wakishafika nchi za watu wanatakaga mamlaka za juu na muhimu za nchi husika zishikwe na wao
 
Ni bora ukamkataza kitu mwenye ufahamu na akili atajiongeza na kupambana.na.hali yake..


Sasa ww makataze kitu mtu mjinga mjinga,atawaza mengi
Ooh naonewaa
Natengwaa
Na nyanyaswaa


Kuna sehem.nilisikia kwamba akili ya mpumbavu daima huwaza anaonewa kwa kila jambo

Kaz kweli kweli
 
wanachonishangaza muslims kwa watu wengne wanapenda wapewe haki wakati nchini kwao haki kwa watu wa iman tofauti hawatoi, mtu akisilim ni vizur ila akichange toka uislam anastahil kuuliwa kwan nyinyi nchi zote duniani mmeiyona marekani tu,nenden ata somalia mkipenda mbna hamuendi wakat kule ndo kna sharia mnayoitaka
 
Hawa wenzetu wamejaa chuki tu dhidi ya dini nyingine, ipo wazi kabisa.
 
wanachonishangaza muslims kwa watu wengne wanapenda wapewe haki wakati nchini kwao haki kwa watu wa iman tofauti hawatoi, mtu akisilim ni vizur ila akichange toka uislam anastahil kuuliwa kwan nyinyi nchi zote duniani mmeiyona marekani tu,nenden ata somalia mkipenda mbna hamuendi wakat kule ndo kna sharia mnayoitaka

hawaoni mambo kama hayo ila la trump wameliona. Na kwanini wa mlaumu mtu kuzuia kuingia kwakwe? wabaki mwakao au waende nchi wanazoruhusiwa.
 
Hao wana hasira na Trump baada ya kukigaragaza Kibibi cho kwenye Uchaguzi 2016!
 
Back
Top Bottom