Trump anachanja mbuga mbele ya Hillary

Hahahahaaa.........atasema uchaguzi urudiwe tena hadi Clinton ashinde...
 
Wamarekani huwezi kuwadanganya kwa propaganda za kijinga .Hayo ndio maamuzi magumu Trump ndio kasha shinda kule Duniani hakuga Ujecha km huku
 
Mmmh sina chanzo cha kuaminika zaidi ya whatsapp, na ndio huko nlikoziona...
Nikaja kuona kapiga picha na flaviana matata kamshika kiuno kama kashika mwiba.
Nimeomba kueleweshwa nimesema sijui kitu teh
Loh....kashika kiuno kama kashika mwiba?
 
Lol...sitaki kuamini km Trump anaweza kuwa ahead of Clinton. I need a person with the highest convincing power to convince me!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…