Trump ana dharau huyu mwamba

Trump ana dharau huyu mwamba

Huwezi amini Leo nimepiga punyeto mpaka nikabusu ukuta☺️☺️🤣
1751219542212.jpg
 
Anawaambia Congo na Rwanda ole wenu atakaekiuka mkataba huu. Hii ni baada ya kuwasainisha mkataba. Trump ana dharau mpaka anakera.
Hawa viongozi wetu wa africa bila mikwara hawaendi ni kama sisi pia wanavyotupiga mikwara na wao ni hivyohivyo..
Tena angewaambia kabisa atayekiuka mandege yangu yatatua ikulu yake kimyakimya ili waogope vizuri..
 
Huyo ni mbabe kwa mataifa dhaifu hawezi kufanya huo dharau na ujinga wake kwa mataifa kama Russia au China
Mataifa dhaifu tena. Duniani kuna nchi ngapi na hizo nchi jasiri ni ngapi, si nne tu!: China, Urus, Iran na Korea Kaskazini ambazo zinajitutumua. Zilizobaki zote zinatikiswa vizuri tu Marekani. Hata nchi za Ulaya hazifurukuti kwa Marekani sembuse nchi za Kiafrika!

Ni vile tu Trump anazionea aibu nchi za Ulaya hapendi kuzitikisa sana kwa sababu wote ni wazungu na historia inaonesha wao ndio wamejiweka daraja la kwanza duniani lakini akiamua kuzitikisa anazitikisa vizuri tu. Rejea kwenye vita ya Ukrain alikuwa anatoa maneno ya dhihaka kwa nchi za NATO! Mara apige mkwara kupunguza bajeti ya NATO, nchi wanachama wakawa wanaanza kupata wasiwasi kwa sababu wanaitegemea Marekani.
 
Mataifa dhaifu tena. Duniani kuna nchi ngapi na hizo nchi jasiri ni ngapi, si nne tu!: China, Urus, Iran na Korea Kaskazini ambazo zinajitutumua. Zilizobaki zote zinatikiswa vizuri tu Marekani. Hata nchi za Ulaya hazifurukuti kwa Marekani sembuse nchi za Kiafrika!
Hata China na Russia zinaweza lakini hazina huo ulimbukeni wa Trump
 
Back
Top Bottom