Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,215
- 20,990
Leo nimesikia FRDC wanetungua ndege ya m23 huko Kivu
Si ni afadhali alivyotoa maelekezo hayo ili amani ipatikane?Anawaambia Congo na Rwanda ole wenu atakaekiuka mkataba huu. Hii ni baada ya kuwasainisha mkataba. Trump ana dharau mpaka anakera.
Ukinunua kitu china unatumia sarafu gani?Wanafuata maagizo na maelekezo kutoka kwa nani?
Elewa mada wewe agent wa wachinaHuyo ni mbabe kwa mataifa dhaifu hawezi kufanya huo dharau na ujinga wake kwa mataifa kama Russia au China
Ukinunua kitu china unatumia sarafu gani?