Trump ana dharau huyu mwamba

Trump ana dharau huyu mwamba

Anawaambia Congo na Rwanda ole wenu atakaekiuka mkataba huu. Hii ni baada ya kuwasainisha mkataba. Trump ana dharau mpaka anakera.
Viongozi wa Drc na Rwanda wamesalimisha nchi zao kwa mabeberu.

Baadae PK na Tshekedi wataitwa 'White House' kukamilisha mauzo.
 
Hata China na Russia zinaweza lakini hazina huo ulimbukeni wa Trump
Ebu tupe mfano Russia atatumia mbinu kumtishia nyau mtu hapa duniani maana Mimi naona hana mfumo wa kidunia anaoumiliki mpaka watu wamwogope hata China vilevile hana lolote la kulitisha taifa lolote na likatii kama afanyavyo mbabe Marekani
 
China ina nguvu za kiuchumi na Russia nguvu ya kijeshi ila hawana ulumbukeni wa kuzitreat nchi nyingine kama mwendawazimu Trump anavyofanya
 
Ndo utwambie China ana ubavu hata wa kumchimba mkwara Tanzania!? Atamtisha kwa kipi asichoqeza kukipata kwingine!? Achilia mbali takataka Russia
 
Anawaambia Congo na Rwanda ole wenu atakaekiuka mkataba huu. Hii ni baada ya kuwasainisha mkataba. Trump ana dharau mpaka anakera.
Halafu hapo Congo wanalipia madini yao, huo upatanisho sio bure.
 
Anawaambia Congo na Rwanda ole wenu atakaekiuka mkataba huu. Hii ni baada ya kuwasainisha mkataba. Trump ana dharau mpaka anakera.
Aliwai nena kuwa wa Africa wanatakiwa watawaliwe tena, nazani huu ni mwanzo.
 
Back
Top Bottom