Trump amtuma tena Witkoff kwenda Moscow

Trump amtuma tena Witkoff kwenda Moscow

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8
Akizungumza jioni ya Jumapili (Agosti 3), Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Warusi ni wazuri kwenye kukwepa vikwazo na kwamba alikuwa anamtuma Steve Witkoff kwenda kuangalia kinachoweza kufanyika.

Witkoff alitazamiwa kuwasili Moscow ama Jumatano au Alhamis, siku za mwishoni kabisa kabla ya muda wa mwisho uliowekwa na Trump kumalizika.

Trump alitishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Urusi endapo haikutekeleza matakwa yake hayo.

Hayo yanakuja wakati Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine akisema wamekubaliana na Urusi kubadilishana wafungwa 1,200 wa kivita kufuatia majadiliano yao yaliyofanyika nchini Uturuki mwezi uliopita.

Urusi haijasema chochote kuhusu ziara ya Witkoff wala mabadilishano ya wafungwa.
 
Trump anaizalilisha sana Marekani. Haonyeshi kuwa US ni taifa kubwa zaidi anazidi kujifanya US kuwa dhaifu zaidi.
Mzee ana kelele mno!
Pamoja na yote, lakini kinachompa tabu Marekani ni kua, katika zungukazunguka zake zoote, na ukorofi wake woote, safari hii kakutana na kiboko ya wakorofi duniani.
Ndio maana unamuona anaweka vikwazo anavitoa,anaweka siku,anapunguza, anatuma wajumbe,anawarudisha,yaani ni full kuweweseka.
 
Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8
Akizungumza jioni ya Jumapili (Agosti 3), Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Warusi ni wazuri kwenye kukwepa vikwazo na kwamba alikuwa anamtuma Steve Witkoff kwenda kuangalia kinachoweza kufanyika.

Witkoff alitazamiwa kuwasili Moscow ama Jumatano au Alhamis, siku za mwishoni kabisa kabla ya muda wa mwisho uliowekwa na Trump kumalizika.

Trump alitishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Urusi endapo haikutekeleza matakwa yake hayo.

Hayo yanakuja wakati Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine akisema wamekubaliana na Urusi kubadilishana wafungwa 1,200 wa kivita kufuatia majadiliano yao yaliyofanyika nchini Uturuki mwezi uliopita.

Urusi haijasema chochote kuhusu ziara ya Witkoff wala mabadilishano ya wafungwa.
Naye aache wenge,Warusi ni miongoni mwa wanadamu Bright kuliko wamarekani wengi ambao ni wavamizi mchongo watafuta fursa,hivyo ya faa awe na heshima na nidhamu kwa mataifa yanayojielewa,asifananishe na yale aliyoita shit hole.
 
Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8
Akizungumza jioni ya Jumapili (Agosti 3), Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Warusi ni wazuri kwenye kukwepa vikwazo na kwamba alikuwa anamtuma Steve Witkoff kwenda kuangalia kinachoweza kufanyika.

Witkoff alitazamiwa kuwasili Moscow ama Jumatano au Alhamis, siku za mwishoni kabisa kabla ya muda wa mwisho uliowekwa na Trump kumalizika.

Trump alitishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Urusi endapo haikutekeleza matakwa yake hayo.

Hayo yanakuja wakati Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine akisema wamekubaliana na Urusi kubadilishana wafungwa 1,200 wa kivita kufuatia majadiliano yao yaliyofanyika nchini Uturuki mwezi uliopita.

Urusi haijasema chochote kuhusu ziara ya Witkoff wala mabadilishano ya wafungwa.
Trump anahangaika balaa moja haiksi na mbili pia
 
Tho am na pro in politics, kwa uwelewa wangu Russia ana source za energy like petrol mpaka gas nyingi na niitajio la kila mtu kama sio nchi hivyo kukwamisha kuna mpa advantage Russia maana bidhaa ikiwa adimu kwenye soko basi itapanda bei hivyo gharama za uzalishwaji zinapanda from viwanda na maeneo mengine.
Napia sio kila nchi iko tayari kukosa huduma kutoka kwake pia hicho pia ni advt kwa allies wake kama China n.k
Pia matumizi ya ndani Russia ni makubwa hivyo kuanzia locally anaweza kuendelea kuzalisha na kuuza kwa bei nzuri hivyo bidha za ndani zinaweza kupambana na imported goods kwenye soko.
Na factors nyingine nyingi za uchumia na maeneo mengine. Pia kwa marekani bado wanahitaji kukua kiuchumi maana hivyo pengine wamemkopesha Ukraine na wanahitaji kurudishiwa deni lao kama vita vitaendelea basi uhakika wakulipwa kwa wakati unapungua hivyo wanaitaji ku push vita hiishe ikiwa kwenye advantage yao ...
 
Tho am na pro in politics, kwa uwelewa wangu Russia ana source za energy like petrol mpaka gas nyingi na niitajio la kila mtu kama sio nchi hivyo kukwamisha kuna mpa advantage Russia maana bidhaa ikiwa adimu kwenye soko basi itapanda bei hivyo gharama za uzalishwaji zinapanda from viwanda na maeneo mengine.
Napia sio kila nchi iko tayari kukosa huduma kutoka kwake pia hicho pia ni advt kwa allies wake kama China n.k
Pia matumizi ya ndani Russia ni makubwa hivyo kuanzia locally anaweza kuendelea kuzalisha na kuuza kwa bei nzuri hivyo bidha za ndani zinaweza kupambana na imported goods kwenye soko.
Na factors nyingine nyingi za uchumia na maeneo mengine. Pia kwa marekani bado wanahitaji ku...
Wangekuwa na akili waweka vikwazo wangejiona wajinga na kuungana na mrusi kama vile isemwavyo if u can not beat the enermy join &fight along side your enermy
 
Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8
Akizungumza jioni ya Jumapili (Agosti 3), Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Warusi ni wazuri kwenye kukwepa vikwazo na kwamba alikuwa anamtuma Steve Witkoff kwenda kuangalia kinachoweza kufanyika.

Witkoff alitazamiwa kuwasili Moscow ama Jumatano au Alhamis, siku za mwishoni kabisa kabla ya muda wa mwisho uliowekwa na Trump kumalizika.

Trump alitishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Urusi endapo haikutekeleza matakwa yake hayo.

Hayo yanakuja wakati Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine akisema wamekubaliana na Urusi kubadilishana wafungwa 1,200 wa kivita kufuatia majadiliano yao yaliyofanyika nchini Uturuki mwezi uliopita.

Urusi haijasema chochote kuhusu ziara ya Witkoff wala mabadilishano ya wafungwa.
Tatizo Trump ana an inflated view of his importance katika Dunia hii, anafikiri anaweza kokoromea au kutisha Taifa kubwa kama Urusi na Rais wao Putin, akumbuke kwamba Putin ana killer instinct kama za a Puffing COBRA, akimletea mchezo wa kutaka kupenda sifa akajikuta anafanya vitendo vya kutaka kumdhalilisha Putin au Taifa lake,
Rais Donald Trump wa Marekani amemtuma tena mjumbe wake maalum kwenda Urusi, wiki moja baada ya kumpa muda wa mwisho Rais Vladimir Putin awe ameshakomesha vita vyake dhidi ya Ukraine ifikapo Agosti 8
Akizungumza jioni ya Jumapili (Agosti 3), Trump aliwaambia waandishi wa habari kwamba Warusi ni wazuri kwenye kukwepa vikwazo na kwamba alikuwa anamtuma Steve Witkoff kwenda kuangalia kinachoweza kufanyika.

Witkoff alitazamiwa kuwasili Moscow ama Jumatano au Alhamis, siku za mwishoni kabisa kabla ya muda wa mwisho uliowekwa na Trump kumalizika.

Trump alitishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Urusi endapo haikutekeleza matakwa yake hayo.

Hayo yanakuja wakati Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine akisema wamekubaliana na Urusi kubadilishana wafungwa 1,200 wa kivita kufuatia majadiliano yao yaliyofanyika nchini Uturuki mwezi uliopita.

Urusi haijasema chochote kuhusu ziara ya Witkoff wala mabadilishano ya wafungwa.

Naona Trump kuwatuma wasaidizi wake mara kwa mara kwenda kumuona Putin anafanya michezo ya kuigiza tu, hana nia thabiti ya kisitisha vita kati ya Urusi na Ukraine, narudia kusema kwamba binafsi naona Trump hana nia thabiti ya kufanya ushuruhishi wa kweli.yeye ni mfanya biashara muda wote anawaza masuala ya kufanya deal za biashara masuala ya Geopolitics ni secondary kwake, yeye muda wote anawasikiliza sana wamiliki wa viwanda vya kuunda silaha huko Merikani ie owners wa USA Military Industrial Complex hao ndio wanafanya lobbing kwa kupitia kwa baadhi ya wabunge ili vita hii iendelee wapige fedha/pesa ndefu kwa kupitia

Wewe kwa nini ushangai ni kitu gani kinamfanya Trump kutotaka kukutana na Putin uso kwa uso kipindi chote hiki, anacho fanya Trump ni kumpigia simu za mara kwa mara Putin kumzuga tu, lakini huyo huyo Trump amekwisha kutana na Zelensky uso kwa uso zaidi ya mara tatu, lakini anamu-avoid Putin wasikutane uso kwa uso what does that tell You?

Ni wazi Trump hayuko sincere kwenye suala zima la mgogoro wa Ukraine, ana msupport indirectly Zelezensky, lakini wakija kwenye Public wanajitia kuzozana lakini kesho yake Trump anapewa MOU ya migodi na vitaru vyenye madini adimu nchni Ukraine, akisha fanikisha hilo anamugeuzia kibao Putin na kumpa ultimatum, yaani Trump anamchukulia Putin au tuseme Taifa la Urusi ni kama watoto wadogo!!

Ningekuwa Putin mimi huyu mwakirishi wa Trump wa sasa hivi ningemtimulia mbali, Putin afike mahali akate shauri kwamba mgogoro huu wa Ukraine umalizwe kwa vita tu hakuna jinsi, after all Russian Military are winning by capturing more territories and killing thousands Ukranians and Dogs of wsr soldiers we saw them being loaded refrigerated containers!!
 
Back
Top Bottom