Trump Ampongeza "Kiduku" kwa Kuufyata!

Trump Ampongeza "Kiduku" kwa Kuufyata!

MPUNGA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
838
Reaction score
561
By Victoria Craw

President Trump has praised Kim Jong Un for making what he called a "very wise and well reasoned decision" to halt missile tests towards Guam.

"Kim Jong Un of North Korea made a very wise and well reasoned decision. The alternative would have been both catastrophic and unacceptable!" the US leader tweeted on Wednesday.

It comes after tensions between the two countries reached fever pitch with fears the US and North Korea were on the brink of a nuclear war.

Timu Kiduku mkuye mutoe mapovu ku mdomo.
 
Mapank ana silaha kama za bongo yaan,..naangalia uwezo wa jeshi lake hapa,nachoona ni kua ana vifaru viing vya kizaman vile ambavyo hata bongo tunavyo,ndege zake sasa ndo kichekesho,..kama za bongo,helicopter zake kama za zima moto,ila ana sub marine kadhaa,..sasa huyu huu umaskin wake imebid alete propaganda za kua na nuclear na vimaneno viing,yaan katka super power za military 10 bora hayupo,kapitwa had na south korea na japan,hutak google..yeye anachoringa ni kua ana wanajesh weng baas,.manake north korea kila mtu ni mjeda,na ni lazma,hahahaha,poor him
 
Unaifahamu N.Korea kuliko hata CIA...wewe ni hatari.
 
Silaha zake ndo hzo,na hzo bomb 5 za nukes za kupewa na russia ndo znafanya dunia isite kumchapa,ila choka mbaya tuu yule,budget yake ya military ni 7.5bil USD,..wakat mwenzie south tuu ni 20bil USD,.sasa hao US budget yao ni 700bil USD,..na mapank kwasabab ni chiz ndomana wanamvumilia,na yule wanamlia timing tuu
 
Napoleon hujui kitu chochote kuhusu no. Nk haina wanajeshi wengi kuliko USA, pia kuhusu silaha nk Korea wanajuvunia nyuklia, ya Masafa marefu. Mdogo wangu huna elimu ya kueleza mambo tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wew ndo huna,ngoja nkupe nondo,..north korea wana active troops karib 2.5mil,na reserve active karib 4.5mil wanajesh hao,..weapon wise wako hovyooo kabsaa,yaan wana silaha kama za bongo,sema tuu wana hizo nukes tena ni kama 5 tuu,..na kwasabab hana akil yule mapank ndomana watu hawamwamin,anaeza akalipua anytim,ingawa yeye ndo ataathirika,maana atapotea kwenye raman ya dunia,..US wala stak kuongelea manake ni fedheha ,inajulikana,best military power in the world, budget tuu ni almost 700bil USD,..Hao korea wanachechemea na budget ya 7.5bil USD,..na ndomana wananua silaha mbov frm russia,hovyo kabsaa
 
Mapank ana silaha kama za bongo yaan,..naangalia uwezo wa jeshi lake hapa,nachoona ni kua ana vifaru viing vya kizaman vile ambavyo hata bongo tunavyo,ndege zake sasa ndo kichekesho,..kama za bongo,helicopter zake kama za zima moto,ila ana sub marine kadhaa,..sasa huyu huu umaskin wake imebid alete propaganda za kua na nuclear na vimaneno viing,yaan katka super power za military 10 bora hayupo,kapitwa had na south korea na japan,hutak google..yeye anachoringa ni kua ana wanajesh weng baas,.manake north korea kila mtu ni mjeda,na ni lazma,hahahaha,poor him
Mtaongea sana.ila N korea anga nyingine.sio iraq pale.wala afghanstan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapank ana silaha kama za bongo yaan,..naangalia uwezo wa jeshi lake hapa,nachoona ni kua ana vifaru viing vya kizaman vile ambavyo hata bongo tunavyo,ndege zake sasa ndo kichekesho,..kama za bongo,helicopter zake kama za zima moto,ila ana sub marine kadhaa,..sasa huyu huu umaskin wake imebid alete propaganda za kua na nuclear na vimaneno viing,yaan katka super power za military 10 bora hayupo,kapitwa had na south korea na japan,hutak google..yeye anachoringa ni kua ana wanajesh weng baas,.manake north korea kila mtu ni mjeda,na ni lazma,hahahaha,poor him
Kuwa na nuclear tu na uwezo wa kudrop popote inatosha kutingisha dunia,hivo vingine mbwembwe

Aliekwambia nan,..we unaskiaga wana test nuclear ,hua wana testia wap,nuclear watu wana i contain ile hata kutua haitui,..north ana mabom ma5 ya nukes,US ana mabom 9000,..nan atapotezwa kwenye raman,af Us alivo mshenz,around north korea tuu pale kuna US base zaid ya 50,na zote ziko equiped na nukes na THAAD,google THAAD najua hufaham ni nin.
 
Mapank ana silaha kama za bongo yaan,..naangalia uwezo wa jeshi lake hapa,nachoona ni kua ana vifaru viing vya kizaman vile ambavyo hata bongo tunavyo,ndege zake sasa ndo kichekesho,..kama za bongo,helicopter zake kama za zima moto,ila ana sub marine kadhaa,..sasa huyu huu umaskin wake imebid alete propaganda za kua na nuclear na vimaneno viing,yaan katka super power za military 10 bora hayupo,kapitwa had na south korea na japan,hutak google..yeye anachoringa ni kua ana wanajesh weng baas,.manake north korea kila mtu ni mjeda,na ni lazma,hahahaha,poor him
You're right. Na anachoringia zaidi hana cha kupoteza. Nchi yote akiwemo iteketee kwake wala sio issue; anaitumia hii kama karata kuwatisha ambao "saving life" ni #1 priority kwao; anbao raia hata mmoja akifa ni bonge la loss.
 
Wew ndo huna,ngoja nkupe nondo,..north korea wana active troops karib 2.5mil,na reserve active karib 4.5mil wanajesh hao,..weapon wise wako hovyooo kabsaa,yaan wana silaha kama za bongo,sema tuu wana hizo nukes tena ni kama 5 tuu,..na kwasabab hana akil yule mapank ndomana watu hawamwamin,anaeza akalipua anytim,ingawa yeye ndo ataathirika,maana atapotea kwenye raman ya dunia,..US wala stak kuongelea manake ni fedheha ,inajulikana,best military power in the world, budget tuu ni almost 700bil USD,..Hao korea wanachechemea na budget ya 7.5bil USD,..na ndomana wananua silaha mbov frm russia,hovyo kabsaa
hahahaa eti silaha mbovu from russia..mkuu unatafuta matatizo na watu hum ndani
 
Back
Top Bottom