DuhTrump atahakikisha waarabu wote wanalia mbele ya Marekani, wale waarabu Wa manzese waliokuwa wanailinganisha USA na Iran/iraq wamekaa kimya , wanasubiri hatima ya wenzao
Trump atahakikisha waarabu wote wanalia mbele ya Marekani, wale waarabu Wa manzese waliokuwa wanailinganisha USA na Iran/iraq wamekaa kimya , wanasubiri hatima ya wenzao
Hivi Iran ni waarabu eeh?Trump atahakikisha waarabu wote wanalia mbele ya Marekani, wale waarabu Wa manzese waliokuwa wanailinganisha USA na Iran/iraq wamekaa kimya , wanasubiri hatima ya wenzao
hapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.Shida binadamu tunapenda kutunishiana misuli
Inajulikana dunia nzima kuwa wavaa magauni meusi na meupe na wafuga ndevu huwa hawana akili haijalishi wapi wanaishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh inaonekana umeguswa sana na kufukuzwa kwa marekani nchini IraqTrump atahakikisha waarabu wote wanalia mbele ya Marekani, wale waarabu Wa manzese waliokuwa wanailinganisha USA na Iran/iraq wamekaa kimya , wanasubiri hatima ya wenzao
Yani hapo umemkusudia mtoto wa mungu wa wakikristo sio, sababu hilo ndio vazi lake 😂 😂 😁 Kwa hio wote wanao muabudu kristo hawana akili.Inajulikana dunia nzima kuwa wavaa magauni meusi na meupe na wafuga ndevu huwa hawana akili haijalishi wapi wanaishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa jinga wengi humuhapo hakuna kutunishiana msuli, muajemi/muarabu hamtunishie msuli marekani? ni Russia tu ambaye anaweza kutunishiana msuli na marekani, sio China wala ulaya. Kipigo watakachopata hao waarabu ,historia haitakisahau watapigwa haraka na kwa muda mfupi.
kosa kubwa walilofanya Iran ni kutaka kupambana na marekani huku ikijiua huyo m-qurd aliyeuawawa ni kiongozi Wa kundi la kigaidi na hapo marekani anachukulia Irani nzima ni wafandhili Wa ugaidi. hapo kitakachofuata narudia tena historia itaandika kwa machozi na damu
Inajulikana dunia nzima kuwa wavaa magauni meusi na meupe na wafuga ndevu huwa hawana akili haijalishi wapi wanaishi
Sent using Jamii Forums mobile app