Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,288
- 10,963
- Thread starter
- #21
Kumuamini kwamba bila yeye Israel ingekuwa magofu, au kwamba Israel ni magaidi?Umemuamini Mia kwa Mia?
Kumuamini kwamba bila yeye Israel ingekuwa magofu, au kwamba Israel ni magaidi?Umemuamini Mia kwa Mia?
Iran kashinda vita!Hii vita haswa imewapa somo Trump na vibaraka wake,, nathani South Korea kuna kitu amekifahamu hapa kwamba siku US akimgusa Kiduku kutokea kwenye nchi yao wategemee zahma la kutosha...
Labda kushinda Njaa tu!!Iran kashinda vita!
Kati ya wewe na Trump aliyeomba "ceasefire" nani mwenye majibu? Au bado unaishi hamsini kweusi ya vita ya majeshi na makombora?Iran kashinda vita!
Trump anasema kuwawinda magaidi haikupi haki ya haki ya kulipua jengo zima na kuua raia wasiokuwa na hatia!!!
Dunia inaenda kasi sana, sikuwahi tarajia kuwa kuna siku raisi wa USA atawaita Israel magaidi.
Wewe wasema!!!Ukiunda ushirika na marekani mwisho wa siku lazima tu uumie yaani anakuanzia na 4 3 3 katikati anakuja na 4 2 3 1 mwisho anakuja na 4 5 1 anakuacha solemba🤣🤣🤣🤣