The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran.
Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE HAYO MABOMU. HATUA HIYO ITAKUWA UKIUKAJI MKUBWA WA MAMLAKA. WAAMBIENI MARUBANI WARUDI NYUMBANI, SASA!" Onyo hilo linakuja baada ya Trump kutangaza mapatano kati ya Iran na Israel, ambayo yalianza kutekelezwa mapema leo asubuhi.
Israel ilisema kuwa imekubaliana na pendekezo hilo, huku Iran ikisema itasitisha mashambulizi pale Israel itakapofanya hivyo.
Jeshi la Israel baadaye lilisema kuwa limenasa kombora lililorushwa na Iran.
Tehran ilikanusha kufanya mashambulizi mapya.