SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Hhaha wewe unafkir tatizo ni mkataba peke yake?..Kwa nini marekani haikusign mkababa wa Kyoto?.Una habari ndani ya miaka mi 3 marekani imeshapunguza hewa ukaa kwa 1%.China na india wanafanya hivyo?,Na kwa nini hizi nchi hazichangii chochote UN kwa ajili ya kupamaba na hewa ukaa?.Why marekani ndio wachangie peke yao.Tunajua kwa sasa china ndio inaongoza kwa uchafuzi wa hewa,and they dont give a damn about it.Kama marekani wanaweza kuji regulate wenyewe ndani na wakapunguza hewa ukaa,ni kwa nini waji sainishe kwenye kikataba kama hiyo ambayo participants hawajali chochote baada ya ku sign?.Historia inajieleza vizuri sana kwamba hii mikataba ni upuuzi mtupu na haina faida yoyote.Ukiwaskiliza ma Dems wanalalamika as if Obama hakufanya the same thing,Hakua sign kyoto,Na sababu zilikuwa ni hizi hizi za Trump.No! No! No! Hiyo siyo kweli kabisa, nadhani hizo ni hisia zako tu. Pale juu nilibandika mkataba wenyewe; usome uulewe ndipo ujue tunaongea nini. Wewe unadhani kwa nini makampuni makubwa karibu yote ya marekani pamoja na state nyingi sana zimepinga uamuzi huo? Hata mawaziri wa Trump kama Rex Tillerson, James Mattis, George Banks, na watoto wake wanapinga uamuzi huo.
Afu kingine,mbona uingereza,Russia na wengine hawapo na hakuna anayelalamika,Kwa nini marekani tu?,Yeye hana uhuru wa kuchagua?