Trump aiondoa Marekani kwenye mkataba wa Paris

Ndipo ulimwengu ujue kuwa umilki wa mali kama vile majumba makubwa ya aina ya Trump Tower siyo kipimo cha akili kichwani. Kadri siku zinavyokwenda ndipo ukweli kuhusu uwezo mdogo wa Trump katika kufikiri unapozidi kudhihirika. Alikaa na rais wa China siku moja tu, jamaa yule akagundua kuwa anaongea na kilaza iwa ajabu, kabidi ampe fundisho la dakika kumi na tano tu. Mama Merkel alipoongea naye akaona kuwa iwapo huyu ndiye atakuwa kingozi wa NATO basi wameliwa. Jamaa huyu ni bogus kuliko hata Bush mara mia.

Tatizo kubwa ninaloona katika future ya marekani ni kuwa nchi hii haitaongoza dunia tena katika miaka kumi na tano ijayo. Umuhimu wa elimu umepungua sana katika nchi hii kiasi kuwa ukiangalia graduate programs za vyuo karibu vyote zina wanafunzi wa kutoka nje tu. Idadi ya watu wanaosoma kumaliza digrii inapungua kidogo kidogo, na hao ambao hawana college degree ndio waliomchagua Trump. Aliwadanganya kuwa atawafungulia migodi ya makaa ya mawe tena ili wapate kazi wakati Obama aliwaambaia atawekeza katoka elimu ya ufundi ili wapate kazi za kisasa lakini wao katika kuchagua kwenda chuoni kujifunza teknology na kubeba sululu akachima makaa ya mawe walkachagua sululu..
Lissu anaziita takataka, rubbish ulichoandika pole!
 
Nadhani wewe ni kati ya watu wasioweza kusoma kitabu chenye kurasa zaidi ya ishirini bila kuona picha za rangi. Kwa hiyo itakuwa ni vigumu sana kujua nilichoandika hapo na huenda hata hukumaliza kusoma post yote. Ama uko kama Trump mwenyewe aliyetoa twitt kuhusu meya wa London leo kwa kusikiliza sentensi moja tu bila kuelewa kauli halisi ya meya au ni kama wapiga kura wa Trump mwenyewe ambao ukiwaambia kuchagua training ya teknology mpya au kubeba sululu waingie kwenye mgodi wa makaa ya mawe utakwenda mgodini.
 
Rubbish again, takataka umeandika
 
But we share the same planet, this is bad news for our future générations. Hivi ulishafika shangai au Beijing ? Jamani kule air pollution mpaka watu wanavaa mask.Trump ni bogus kabisa yupo pale kumkomoa Obama. Waendelee kuchafua mazingira ila the price tutalipa wote. Climate change is real. Save the planet
Best nenda kasome vizuri Paris agreement. Marekani anachangia pesa nyingi sana kwenye climatic change wakati wachafuzi wakubwa China India Russia hawana lolote.your are not smatter than trump.Paris agreement ni mzigo kwa marekani.marekani ndio mchangiaji mkubwa UN.ndio mchangiaji mkubwa NATO ni mda muafaka wa equal share.
 
Paris agreement ni hii hapa niliyombatanisha. Katika yote uliyoandika hayamo katika hiyo agreement. Yote aliyosema Trump katika hotuba yake, hayamo kabisa katika hiyo agreement. Ile feeling yake kuwa nchi nyingine zimewawekea conditions zinazo hatarisha uchumi wao ni uwongo mtupu. Soma hiyo agreement sawasawa ndipo ujue Trump ni bogus kabisa.

Article 9 inazitaka nchi zilizoendelea zenye uwezo kuzisaidia nchi zisizo na uwezo katika kufikia lengo la pamoja. HaisemiKuwa Marekani ifanye nini, ni juu ya marekani yenyewe kuamua isaidie nini.

Tatizo kubwa la Paris agreement kwa marekani ni kuwa lilifikiwa wakati wa utawala wa Obama, na jamaa huyu anachotaka kufanya tu ni kufuta kila jmbo lililotokea wakati wa Obama bila kuangalia faida au madhara yake.

Endapo gharama ni mzigo ulioifanya Marekani ijiondoe, basi tujiandae pia kuiona Marekani ikijitoa kwenye Umoja wa mataifa kwa sababu ndiyo inayolipa fedha nyingi sana huko.
 
Attachments

Ndipo ulimwengu ujue kuwa umilki wa mali kama vile majumba makubwa ya aina ya Trump Tower siyo kipimo cha akili kichwani. Kadri siku zinavyokwenda ndipo ukweli kuhusu uwezo mdogo wa Trump katika kufikiri unapozidi kudhihirika. Alikaa na rais wa China siku moja tu, jamaa yule akagundua kuwa anaongea na kilaza iwa ajabu, kabidi ampe fundisho la dakika kumi na tano tu. Mama Merkel alipoongea naye akaona kuwa iwapo huyu ndiye atakuwa kingozi wa NATO basi wameliwa. Jamaa huyu ni bogus kuliko hata Bush mara mia.

Tatizo kubwa ninaloona katika future ya marekani ni kuwa nchi hii haitaongoza dunia tena katika miaka kumi na tano ijayo. Umuhimu wa elimu umepungua sana katika nchi hii kiasi kuwa ukiangalia graduate programs za vyuo karibu vyote zina wanafunzi wa kutoka nje tu. Idadi ya watu wanaosoma kumaliza digrii inapungua kidogo kidogo, na hao ambao hawana college degree ndio waliomchagua Trump. Aliwadanganya kuwa atawafungulia migodi ya makaa ya mawe tena ili wapate kazi wakati Obama aliwaambaia atawekeza katoka elimu ya ufundi ili wapate kazi za kisasa lakini wao katika kuchagua kwenda chuoni kujifunza teknology na kubeba sululu akachima makaa ya mawe walkachagua sululu..
Pumba Tupu
 
Paris agreement ni hii hapa niliyombatanisha. Katika yote uliyoandika hayamo katika hiyo agreement. Yote aliyosema Trump katika hotuba yake, hayamo kabisa katika hiyo agreement. Ile feeling yake kuwa nchi nyingine zimewawekea conditions zinazo hatarisha uchumi wao ni uwongo mtupu. Soma hiyo agreement sawasawa ndipo ujue Trump ni bogus kabisa.

Article 9 inazitaka nchi zilizoendelea zenye uwezo kuzisaidia nchi zisizo na uwezo katika kufikia lengo la pamoja. HaisemiKuwa Marekani ifanye nini, ni juu ya marekani yenyewe kuamua isaidie nini.

Tatizo kubwa la Paris agreement kwa marekani ni kuwa lilifikiwa wakati wa utawala wa Obama, na jamaa huyu anachotaka kufanya tu ni kufuta kila jmbo lililotokea wakati wa Obama bila kuangalia faida au madhara yake.

Endapo gharama ni mzigo ulioifanya Marekani ijiondoe, basi tujiandae pia kuiona Marekani ikijitoa kwenye Umoja wa mataifa kwa sababu ndiyo inayolipa fedha nyingi sana huko.
a72d4dafa3dbbe09b032e2bd6f34c0ea.jpg
 
Best nenda kasome vizuri Paris agreement. Marekani anachangia pesa nyingi sana kwenye climatic change wakati wachafuzi wakubwa China India Russia hawana lolote.your are not smatter than trump.Paris agreement ni mzigo kwa marekani.marekani ndio mchangiaji mkubwa UN.ndio mchangiaji mkubwa NATO ni mda muafaka wa equal share.
8e507f5c99533348e5df78767aa1e949.jpg
 
Hizo propganda za FoxNews na wala hazitoi picha kamili ya fund yenyewe. Kwanza fund hiyo ni ya kujitolea, kila nchi ilijitolea hakuna nchi iliyolazimishwa kutoa; Marekani iliahidi (pledge) kutoa Billioni tatu, siyo kwamba walipangiwa na chombo chochote cha nje. Pili hii ni Fund iliyoanzishwa na nchi za G7 mwaka 2015- China India na Russia hazimo kwenye G7, ingawa sasa zilikubaliana na Paris Agreement, na ziko katika process ya kuchangia kwenye Green Climate Fund. Katika mambo haya lazima awepo kiongozi; iwapo Marekani imeukana uongozi basi awaachie wengine waongoze. Hii pledge ilikuwa ni strategic kwa Marekani kwani pia ilitaka iwe leader katika clean energy technologies. Leadership huhitaji sana vision, kuliko repetition ya history. Makaa ya mawe yalikuwa na maana zamani lakini future ya dunia haipo kwenye makaa ya mawe tena.

upload_2017-6-5_15-43-37.jpeg

upload_2017-6-5_15-44-3.jpeg

upload_2017-6-5_15-44-35.jpeg

upload_2017-6-5_15-44-52.jpeg
 
Hizo propganda za FoxNews na wala hazitoi picha kamili ya fund yenyewe. Kwanza fund hiyo ni ya kujitolea, kila nchi ilijitolea hakuna nchi iliyolazimishwa kutoa; Marekani iliahidi (pledge) kutoa Billioni tatu, siyo kwamba walipangiwa na chombo chochote cha nje. Pili hii ni Fund iliyoanzishwa na nchi za G7 mwaka 2015- China India na Russia hazimo kwenye G7, ingawa sasa zilikubaliana na Paris Agreement, na ziko katika process ya kuchangia kwenye Green Climate Fund. Katika mambo haya lazima awepo kiongozi; iwapo Marekani imeukana uongozi basi awaachie wengine waongoze. Hii pledge ilikuwa ni strategic kwa Marekani kwani pia ilitaka iwe leader katika clean energy technologies. Leadership huhitaji sana vision, kuliko repetition ya history. Makaa ya mawe yalikuwa na maana zamani lakini future ya dunia haipo kwenye makaa ya mawe tena.

View attachment 519921
View attachment 519922
View attachment 519923
View attachment 519924
Kwa hiyo new York times wao sio propaganda.? Ila fox news ndio propaganda.
 
Endelea kuhara na wakati watu washajitoa kitambo, hyo new york times bora nisome gazeti la sani la udaku sio pumba za hilo takataka
 
Umesoma huo mkataba? Unajua hiyo China imependelewa kiasi gani? Unafahamu kwanini Donald kajitoa na nchi yake? Au unatukana tu sababu una Uhuru huo?
Mkuu mimi nimemshangaa sana huyo mliberali,Wala hajui sababu za kujiondoa yeye anatukana tu,hilo ndo tatioz la kukesha kuangalia CNN 24/7.Kwa ufupi ni kwamba,ule mkataba ni wa kiboya sana,yaani unailazimisha marekani na nchi nyingine kupunguza uzalishaji wa makaa ya mawe,that means kuna baadhi ya kigodi itafungwa kabisa.USA kuna migodi ya makaa zaidi ya 51,800.Sasa ukisema kufunga migodi,vipi kuhusu ajira zitakazopotea?.kitu kingine endapo marekani inasimamisha uchin=mbaji,china na india zitaongeza ili ku cover deficity iliyoachwa namarekani,thai means tutarudi kule kule au zaid ya hapa.China na india hawajawahi kufunguza gesi ukaa hata kwa asilimia 1.Marekani kila mwaka inachangia $1 bil UN kwa ajili ya kupambana na uchafuzi wa anga,hakuna nchi hata moja iliyochangia hadi sasa.Ni marekani tu.kuanzia china,india,ufaransa,jermany na wengine wanaolilia Paris Acoord,wote ni Zero katika kuchangia.Data zipo UN,google tu.Sasa hapo kwa nini trump asaini huu ujinga unaocost kodi za wamarekani kila mwaka?.
Nilimsikiliza Former secretary John kerry,anasema eti watoto wetu watakufa kwa pumu,hahaha.sasa nilijiuliza kwamba toka lini C02 ikasababisha pumu,tunavuta C02 kila siku,basi tungeisha wote kwa pumu.Nikaona hawa ma DEMS ni waropokaji tu na hawajui wanachokifanya,kila kikicha ni kupambana na Trump tu.Na Trump sasa ashawajulia anawaacha tu halafu yeye anafanya yake,mbaya zaidi wamarekani sio wajinga,Utashangaa uchaguzi mwingine huo,wanapigwa tena kibabe.Ma dems hovyo sana.Halafu yule bibi Clinton,she has to move on kwa kweli,cheap politics na kulaumu kila mtu hazisaidii kamwe.Kuna siku watamchoka sasa.Mbaya zaidi kanalaumu kila mtu hadi wa kwenye chama chake kwa kushindwa.Poor Hillary.
 
Kwa hiyo new York times wao sio propaganda.? Ila fox news ndio propaganda.
Hiyo article ina link za data halisi kutoka kwenye website ya Green Climate Fund. Point kubwa ni kuwa funds zilikuwa pledged na members, hawakulazimishwa. Bado marekani ingeweza ku review pledge yake. Point ya pili ni kuwa twitt hiyo uliyoqwoti ya Fox News inalinganisha mchango wa marekani na China, India na Russia ambao sio member wa G70. Fund hiyo ilianza kuchangiwa na nchi za G7 tu baada ya mkutano wao wa Ujerumani: ulinganisha huo ni wa oranges to apples, bdo kuna nchi nyingine zinaendelea kuchangua. Table hiyo iliyotolewa na New York times imetoka kwenye Green Climate fund yenyewe na wala siyo kweli kuwa Marekani ina mzigo mkubwa sana ukilinganisha na nchi kama Sweden. Je umesikia kuwa tangu Trump atangaze kujitoa tayari China imeshakaa sawasawa na EU katika kuiongoza? Ingawa China ni poluter mkubwa siyo kweli India na Russia poluters wa kuizidi Marekani. Data za haraka ni hizi hapa
upload_2017-6-6_1-13-23.png
 
Endelea kuhara na wakati watu washajitoa kitambo, hyo new york times bora nisome gazeti la sani la udaku sio pumba za hilo takataka
wewe huwezi kusoma New york times ukaielewa kwa vile haina picha za rangi.
 
Mkuu mimi nimemshangaa sana huyo mliberali,Wala hajui sababu za kujiondoa yeye anatukana tu,hilo ndo tatioz la kukesha kuangalia CNN 24/7.Kwa ufupi ni kwamba,ule mkataba ni wa kiboya sana,yaani unailazimisha marekani na nchi nyingine kupunguza uzalishaji wa makaa ya mawe,that means kuna baadhi ya kigodi itafungwa kabisa.USA kuna migodi ya makaa zaidi ya 51,800.Sasa ukisema kufunga migodi,vipi kuhusu ajira zitakazopotea?.kitu kingine endapo marekani inasimamisha uchin=mbaji,china na india zitaongeza ili ku cover deficity iliyoachwa namarekani,thai means tutarudi kule kule au zaid ya hapa.China na india hawajawahi kufunguza gesi ukaa hata kwa asilimia 1.Marekani kila mwaka inachangia $1 bil UN kwa ajili ya kupambana na uchafuzi wa anga,hakuna nchi hata moja iliyochangia hadi sasa.Ni marekani tu.kuanzia china,india,ufaransa,jermany na wengine wanaolilia Paris Acoord,wote ni Zero katika kuchangia.Data zipo UN,google tu.Sasa hapo kwa nini trump asaini huu ujinga unaocost kodi za wamarekani kila mwaka?.
Nilimsikiliza Former secretary John kerry,anasema eti watoto wetu watakufa kwa pumu,hahaha.sasa nilijiuliza kwamba toka lini C02 ikasababisha pumu,tunavuta C02 kila siku,basi tungeisha wote kwa pumu.Nikaona hawa ma DEMS ni waropokaji tu na hawajui wanachokifanya,kila kikicha ni kupambana na Trump tu.Na Trump sasa ashawajulia anawaacha tu halafu yeye anafanya yake,mbaya zaidi wamarekani sio wajinga,Utashangaa uchaguzi mwingine huo,wanapigwa tena kibabe.Ma dems hovyo sana.Halafu yule bibi Clinton,she has to move on kwa kweli,cheap politics na kulaumu kila mtu hazisaidii kamwe.Kuna siku watamchoka sasa.Mbaya zaidi kanalaumu kila mtu hadi wa kwenye chama chake kwa kushindwa.Poor Hillary.
Safi sana Mkuu kwa ufafanuzi mzuri mkataba wa kiboya sana.wengi CNN inawapoteza vibaya sana.
 
No! No! No! Hiyo siyo kweli kabisa, nadhani hizo ni hisia zako tu. Pale juu nilibandika mkataba wenyewe; usome uulewe ndipo ujue tunaongea nini. Wewe unadhani kwa nini makampuni makubwa karibu yote ya marekani pamoja na state nyingi sana zimepinga uamuzi huo? Hata mawaziri wa Trump kama Rex Tillerson, James Mattis, George Banks, na watoto wake wanapinga uamuzi huo.
 
Back
Top Bottom