kwani hao nao ni wakimbizi?yaani watu wajikusanye tu eti maisha ni magumu waende nchi nyingine wapewe haki ya ukimbizi??kisa tu kwao maisha ni magumu bila sababu nyingine kama za vita na nyingine??Kwanini na sasa wasiwalishe hao wakimbizi wanaoenda kuishi ndani ya USA?
Kwa jinsi akili yako ilivyo ndogo kama punje ya haradanu,unawaza msosi tu,madhara mengine huyaoni sio?
Hao wakinkimbizi wanavyokuja bongo na silaha za kivita na kuteka magari na watu huko mipakani Kigoma na Ngara hao wazungu walisaidia nini?Wanavyoharibu mazingira huku Tz hao wazungu walisaidia nini?
Hadi Pro-Russia wataunga tela huko[emoji1787]Wakimbiz wa kiuchumi!! Wakiruhusu hilo baada ya miezi miwili TZ itakuwa na RAIA 10,000,000 tu badala ya 50,000,000 waliopo sasa.