Trump aanza kufanya yake!!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,925
95,582
fb75b266533752d82cbed7c95b7d626f.jpg
8e7a37b2e2e1af2515f9796274616c00.jpg
57557abfe9930be800c66371c0a9805c.jpg
8aca439b3da3cc6f1d8135d872f92c43.jpg
 
Huyu jamaa si alimfariji Putin watakuwa marafiki!? Ona sasa interest za Russia zinavyovurugwa huko Syria!
 
Atachoka tu, huko kote ni kutapa tapa , US inaishi kwa madeni tu sasa na inaelekea kuvuliwa taji la ubabe wa duania na wachina
 
Akikujibu hili swali niite Mkuu.
Assad tokea mwanzo wamevunja sana haki za binaadamu na makundi yaliyopo kule ya kimisaada wamekuwa wakilaani sana ,hili la chemicals ni Assad wazi kabisa hata mrusi kawa mpole sababu ya ujinga wa Assad

Ukiacha mahospitali yenye wagonjwa,majengo yenye watu ndani yaliyoharibiwa na ndege za Assad hilo la chemical kavuka mipaka sana

Waasi no ,hata Kremlin wanajua kama Assad kafanya upuuzi huo
 
Kuna ushahidi upi/gani kuwa chemical weapon imetumiwa na serekali ya Syria na siyo waasi au mtu mwingine yeyote?


syria gvt
usa gvt
rusia gvt
israel gvt
wanamgambo/waasi

wote wanacheza na uhai wa raia wa syria.

hakuna wakuamini hata mmoja.,

silaha za chemical ni daraja tuu.
 
Back
Top Bottom