Trump 2024

Trump 2024

He didn’t lose because of his policies.

He lost because of his style.

He faced a lot of headwinds from day one.

He also contributed a lot of it, by himself.

He is his own worst enemy!
Ila ataumia mno
 
Ila ataumia mno
Sina ushahidi, ila nina mashaka sana!

Mtu alikuwa anaongoza kwenye majimbo yote muhimu, tena ma-laki ya kura.

Ila kadri siku zinavyoenda, eti kura zake zinapungua na za mpinzani wake zinaongezeka tu.

Hmm.....aisee. Hahahaaa kuna mambo huwa hayaingii akilini kabisa.
 
Atakuwa kama Grover Cleveland, aliwahi kuiongaza Marekani kwa mihula miwili isiyofuatana.

Mihula wa kwanza 1885-1889 na 1893-1897.
 
Sina ushahidi, ila nina mashaka sana!

Mtu alikuwa anaongoza kwenye majimbo yote muhimu, tena ma-laki ya kura.

Ila kadri siku zinavyoenda, eti kura zake zinapungua na za mpinzani wake zinaongezeka tu.

Hmm.....aisee. Hahahaaa kuna mambo huwa hayaingii akilini kabisa.
Hata yeye alisema kuhusu Penyslavia (masahihisho) alikua na laki 5 ila zinafutika kiajabu.

Hata yeye aliliongelea swala la Mail ballots
 
Hata yeye alisema kuhusu Penyslavia (masahihisho) alikua na laki 5 ila zinafutika kiajabu.
Hata yeye aliliongelea swala la Mail ballots
Actually ilikuwa ni zaidi ya laki 6!

Kama nilivyosema, sina ushahidi. Ila nina mashaka sana. Nahisi kuna figisu wamemfanyia.

Haiwezekani kadri siku zinavyoenda, kura za mpinzani wake zinaongezeka huku zake, kwa kiasi kikubwa, zikibaki palepale.

Hayo ni maajabu.

Hata Marekani figisu zipo.
 
Kurudi anaweza kwa maana ya umri lakini sidhani Kama chama chake kitampisha lakini pia kushinda itakuwa ndoto
Kama akitaka kugombea, si lazima agombee kupitia chama.

Anaweza kugombea kama mgombea huru, na anaweza akashinda, kama hakutakuwa na figisu.
 
Actually ilikuwa ni zaidi ya laki 6!

Kama nilivyosema, sina ushahidi. Ila nina mashaka sana. Nahisi kuna figisu wamemfanyia.

Haiwezekani kadri siku zinavyoenda, kura za mpinzani wake zinaongezeka huku zake, kwa kiasi kikubwa, zikibaki palepale.

Hayo ni maajabu.

Hata Marekani figisu zipo.
Kilichofanyika Trump alijikita zaidi kuwambia wanachama wake wakapige kura kwenye vituo tafauti na Biden aliwamiza wananchi wapige kura kwa njia ya Posta, kilichotokea kura zilizopigwa kwenye kituo ndiyo zilianza kuhesabiwa ambazo nyingi zilikuwa kura za Trump, baada ya hapo walianza za posta za Biden mchezo ukaishia hapo.

Ni USHINDI wa kisayansi
 
Kilichofanyika Trump alijikita zaidi kuwambia wanachama wake wakapige kura kwenye vituo tafauti na Biden aliwamiza wananchi wapige kura kwa njia ya Posta, kilichotokea kura zilizopigwa kwenye kituo ndiyo zilianza kuhesabiwa ambazo nyingi zilikuwa kura za Trump, baada ya hapo walianza za posta za Biden mchezo ukaishia hapo

Ni USHINDI wa kisayansi
I still cannot rule out some shenanigans.

Mbona Florida walihesabu kura siku hiyo hiyo na wakamaliza na wakamtangaza mshindi.
 
Actually ilikuwa ni zaidi ya laki 6!

Kama nilivyosema, sina ushahidi. Ila nina mashaka sana. Nahisi kuna figisu wamemfanyia.

Haiwezekani kadri siku zinavyoenda, kura za mpinzani wake zinaongezeka huku zake, kwa kiasi kikubwa, zikibaki palepale.

Hayo ni maajabu.

Hata Marekani figisu zipo.
Ni sawa hakuna cha figisu, democrats wengi walihamasishwa kupiga kura za mail mapema, rejea Ohio na majimbo mengine ambayo walianza kuhesabu mail ballots utaona jinsi Joe alivyokimbiza na mwisho wa siku yaliishia mikononi mwa Trump baada ya kura zote zilizopigwa siku ya uchaguzi kuhesabiwa, Georgia na PA walianzia kura za siku ya uchaguzi zile za mail wakaziweka za mwisho na ndo zenye kura nyingi za Joe, Joe yuko strict sana na issue ya Corona, wapiga kura wake wengi aliwahamasisha wavote mapema kwa mail wasipange mstari.
 
Hayo ni maoni yako.

Mimi kwa maoni yangu, nahisi kuna figisu.

Naamini katika kupiga kura siku ya kupiga kura.

Kura kwa njia ya posta zinafungua mianya mingi ya kufanya figisu.
 
Mhhhh!!
kwa kweli sijui kama atafika huko

1606947061743.png
 
Back
Top Bottom