Truly African woman

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,439
1452368413090.jpg
1452368413090.jpg
 
Bandika bandua

haiwezekani kumchora mwanamke anayewakilisha uafrica bila kuwa na mimba, ??
hii inamaanisha vitu viwili
1. Wanaume wa kiafrika kutokana na umasikini ngono ndo starehe yetu.
2. Ulimbukeni/Ujinga, elimu ya kupanga uzazi imewapitia kushoto wanawake wa kiafrica
 
Chakula kinachopikwa hapo ni very nutritious kwani kila chakula hapo ni fresh hakuna makopo!! Mama na watoto wote wanaonekana wana afya; ndio maana mzee anakata mti na kupanda mti!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom