True Story: *******

MpigfilimbiwaHamelin

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
652
Reaction score
169
Nyelwa ******* alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu. Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.

Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi..

"Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya *******! Si wote mlisikia maagizo ya *******? Nani hataki kutekeleza maagizo ya *******? Lazima mtekeleze maagizo ya *******! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya *******!

RIP Mhe. Nyelwa *******, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.

Poleni familia..
 
kumbe watendaji wachapakazi wa zama hizi wote wanafanya mambo ya *******. maana ******* alishayafanya since 1980's
 
Na ALIKUWA MPARE WA USANGI[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…