Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
Du!!Waziri Pinda katika ziara mikoani akatakiwa kwenda kufungua kisima cha kijiji. Alipochungulia kisimani akarudi nyuma fasta. Akaulizwa Vipi Mheshimiwa??!!!
Akauliza "Mnafuga MAMBA kisimani??
Wananchi wakasema "HAPANA" Pinda akarudi tena kuchungulia kisimani. Ghafla akacheka kumbe ilikuwa sura yake ndani ya maji!!!!!!........ Lol.
Hayo yanakuja vp hapa? Kwanza hata utendaji wake mhhh!...sawa na sura yake! lolzSura sio muhimu. Utendaji bora muhimu
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii una hamu ya kupuuu kwenye ndooo eheeee?