True Story: Rais wa Czech Republic aiba Pen Chile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

True Story: Rais wa Czech Republic aiba Pen Chile

Discussion in 'International Forum' started by popiexo, Apr 17, 2011.

 1. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Amini usiamini tukio hili limetoke pale Rais huyu wa Czech Vanclav Klaus alipokuwa ziara ya kikazi nchini Chile
  YouTube - Pen Thief
   
 2. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu sijui wananchi wake watamwelewa vipi, inaonyesha udokozi nitaba yake toka utoto hawezi kuacha
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hivi ameiba au amechukua??
   
 4. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hiyo ameiba kwasabau waandaaji hawakumpa, na kama kuchukua angechukua na mkebe wake
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hiyo video ni ya ukweli au ndy yale mambo yetu yalee! maana hapo anaonekana amedhamiria kabisha kuiba, swali ni je-Ina maana hana uwezo wa kununua pen kama hiyo?
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Dah! kumbe ni kweli bana! Nina wasiwasi na shemeji yetu, huenda na yeye huwa anapiga finga wanampotezeya tu!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Shemeji gani tena!!!
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee namuonea huruma kweli sijui hali ikoje kwake!
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Msemaji wa Rais Czech amesema Rais alijisahau kama binadamu kuichukuwa hiyo Pen
   
 10. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  stooop!!

  Prezdar wa czech hajaiba, angalia pen imewekwa kwa ajili yake mbele, na hata mwenzake pia kawekewa yake kwenye kibox chake.

  Kama pen ni yako na umewekewe wewe, ukiichukua na kuiweka kwenye mfuko kuna ubaya gani?
   
 11. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli jamaa kaiiba , bora angeicha mkononi na kujifanya ameisahau na kuondoka nayo.

  Unajua wizi ni ugonjwa kama magonjwa mengine, mwizi akikosa cha kuiba hua anaweka hata shati lake, harafu baadae analinyatia na kuliiba ili atulize moyo.
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwani ile pen aliwekewa nani? Yeye kaiangalia kaipenda kaamua kuiifadhi kwa matumizi yake ya nchini kwake!
  Mh hawa wenzetu kukuza mambo hawajambo!
   
 13. Selwa

  Selwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Acheni Ku-panick..its soo obvious kama jamaa alikuwa anatania..huoni kabisa aniachungulia Kamera... IT was a joke!! Yani waTanzania hamna hata sense of humour?
   
Loading...